Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Hananasif
Kiatu MEDIA Graphic Designer & Printing Magazines Flyers Brochures Business Cards Billboards Company Profiles Books etc.
amosimwakujonga@gmail.com
tunauza nafaka zote, sukari, unga na mafuta ya kula
Tunauza vitenge bomba kutoka NIGERIA vyenye quality sivyochuja wala kupauka kwa bei nafuu kabisa Tunashona pia Tunauza jumla na rejareja Tunafanya delivery ndani ya dar es salaam na mikoani pia
USAMBAZAJI NA UUZAJI WA VIFAA VYA SIMU
Women clothing design and tailoring. Ready to wear stylish outfits. Tunashona nguo aina zote kwa ustadi mkubwa na gharama nafuu
karibuni Sana kwa huduma za furnitures za chuma, Kama vile vitanda vya chuma, mageti, madirisha, milango, na bidhaa zote zinazohusiana na chuma. tuwasiliane, 0653 155056 nipo kinondoni manyanya jirani na kinondoni Muslim.
Health and beauty
Ni kampuni inayojihusisha na maswala ya upambaji kwenye sherehe mbali mbali events za aina yoyote pia ukihitaji kuna mcs na mziki
Tuuza vifaa vya video production vya haina zote na vyakisasa pia tunatoa huduma ya upigaji picha za mnato na jongeo.
Wauzaji wa perfumes original kutoka Dubai na France Perfume zetu ni brand na generics pia zinazokaa muda mrefu hadi masaa 72
Karibu duka mtandaoni leo tumeamuwa kuwaletea MAYAI YA KIENYEJI kwa bei poa kabisa kwa trei na unaletewa popote ulipo nyumbani au kazini bila kulipa ghalama yoyote call 0789140979 tukuudumie kwa wakati
Sisi ni wauzaji wa kuku wa nyama na mayai tuliosajiliwa na kupata vibali vyote vya ufanyaji kazi
DRESSES SKIRT BOYFRIEND JEANS T-SHIRT POCHI
TUNAUZA MAGARI MAPYA NA YALIYOTUMIKA YA AINA ZOTE. TUNAKUTAFUTIA MTEJA WA GARI YAKO UNAYOUZA KWA HARAKA
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →