Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 1 of 70
FUNDI FRIJI DAR

Fundi Friji Dar — Matengenezo na ukarabati wa Friji & Freezer. Huduma ndani ya Dar es Salaam. 📞 0741 811 196

Est. 2026 Dar es salaam, mwenge, bunju, kawe, kimara, ubungo, temeke, sinza, mbweni, mbezi beach, tegeta, goba, tabata, manzese,
regata company limited

cleaning services, Fumigation & pest control, gardening services, air condition services

Est. 2018 Dar Es Salaam, Tanzania
SMARTVOLT

Tunauza bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla na rejareja 💡 Umeme • Solar • Electronics • Accessories na bidhaa nyingine mbalimbali 💰 Bei nafuu | Ubora wa uhakika 🚚 Usafirishaji unapatikana 📲 Karibu uagize nasi — bei ya jumla kwa wafanyabiashara 🤝🔥 SMARTVOLT TANZANIA — Ubora kwa Bei Bora

Est. 2026 Mwanza nata
SMARTVOLT

Tunauza bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla na rejareja 💡 Umeme • Solar • Electronics • Accessories na bidhaa nyingine mbalimbali 💰 Bei nafuu | Ubora wa uhakika 🚚 Usafirishaji unapatikana 📲 Karibu uagize nasi — bei ya jumla kwa wafanyabiashara 🤝🔥 SMARTVOLT TANZANIA — Ubora kwa Bei Bora

Est. 2026 Mwanza nata
SmartElectronicsTZ

Tunauza bidhaa za kisasa za electronics kwa ajili ya matumii binafsi na matumizi ya nyumbani (Smart Home Gadgets)

Est. 2026 Njia panda ya kinzudi
Tunafanya utafiti wa madini Ardhini, na Uchimbaji wa Visima virefu vya Maji

#MADINI - Tufanya utafiti wa Madini Mbali mbali Ardhini Kama Dhahabu, Almasi Ruby, Sapphire, Silver na Emerald kwa Laki 5 kila ekari na unaweza kulipa kwa asilimia baada ya uchimbaji kuanza katika eneo lako. #MAJI - Tunachimba visima vya Maji

Est. 2017 mbezi mwisho
nowa furniture

mtengenezaji huko Guangzhou china, zingatia samani za kisasa na bora za ofisi, nyumba na hoteli yenye uzoefu wa miaka 20.

Est. 2001 middle east
Ahava ED Catering& Decoration services

Tunatoa huduma za chakula na upambaji katika sherehe

Est. 2019 Kinzudi
Ahava ED Cleaning Services

Tunatoa huduma ya usafi maofisini na majumbani

Est. 2021 Kinzudi
Dalali Msafirii Mabhibhaa

Nyumba, mashamba viwanja n.k

Est. 2021 Dar es salaam yote
Tunachimba visima mikoa yote Tanzania

tunachimba visima virefu na vifupi pia tunafanya tafiti ya maji ardhini,flashing ya visima,pump service call us 0627431955/0762484200

Est. 2021 ilala
furnitures

chuma

Est. 2020 bondeni kawe
furnitures

chuma

Est. 2020 bonden kawe
furnitures za chuma

meza decoration

Est. 2021 bondeni kawe
vioo

jumabashiru93@gmail.com

Est. 2021 jumabashiru93@gmail.com
Betranson Cleaning Company Ltd

Tunatoa huduma za usafi majumbani, maofisini, Ukumbi, Usafi baada ya sherehe au Harusi (After party), Usafi baada ya ujenzi (Post Construction Cleaning), Fumigation na Gardening, wauzaji na watengenezaji wa Sabuni za maji zenye ubora wa uhakika. Karibuni

Est. 2021 Salma Kikwete Secondary school
DR PPT GENERAL CLEANLINESS

Dr PPT Cleaning & Fumigation Extra Service: Counselling about Cleaning Issues

Est. 2021 KINYEREZI Garage ya Mchina
Amra venture

Tunasambaza Trei ya Mayai ya Karatasi ya Mboga ambayo ni rafiki kwa mazingira iliyotengenezwa kwa karatasi ya kuchakata tena.

Est. 2021 Mbezi , goba
Jane collection

nguo za kike na urembo

Est. 2018 kwa awazi
Mkahe Auto Spare Parts

Spare Parts

Est. 2021 Bamaga
MIKANDA YA GYPSUM/ GYPSUM BELT

Mikanda ya gypsum ya aina mbali mbali Kama vile cabech, plain, nyoka nyoka n.k, kwa bei ya jumla ni 1300/= kwa Kila pc, karibu tufanye biashara

Est. 2021 Mbande- kisewe
Bennie_Electronics

Selling Electronic Devices

Est. 2017 Mabibo Hostel
BuyPoint

Selling Electronic Devices mostly Wireless Earbuds/Earphones at affordable prices

Est. 2017 Ubungo
Bennecy Africa

Kwa Ujenzi Wa BWAWA LA KUOGELEA (Swimming Pool) SAUNA Na SPA. Wasiliana Nasi Leo.

Est. 2010 Rock City Mall
Canal Plus Decorder

Canal Plus ni kingamuzi kinachokuwezesha kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine mingi ya kimataifa kwa malipo nafuu ukilinganisha na visimbuzi vingine. Kwa tsh. 100k tu unapata decorder na kwa 130k unapata decorder na kifurushi cha mwezi (cha 45k)

Est. 2021 Goba
Maje Digital Group

Ni watengenezaji wa website zenye ubora wa kimataifa. Ni Google optimized, responsive na zina social media integration. Pia tunatoa huduma zote za graphics design kama Logo, posters, flyers, letterheads na printing

Est. 2020 Sinza Mapambano
TANZANIA WALLSTREET

Tanzania wallstreet is a company that empowers youth with financial literacy across Africa and the globe

Est. 2021 Mwenge
Nyafungo electronics

Nyafungo electronics online busness dealer phone accessories location kariakoo Aggrey street and makumbusho

Est. 2019 Kariakoo
Viwanja bora

Nauza viwanja vya makazi na biashara vilivyopimwa maeneo ya goba,madale,mbweni,mbezi beach n.k

Est. 2019 Goba center
AWESOMETZ ( AWESOME TANZANIA)

ni jukwaa la madhumuni mengi na maarufu ambalo huleta habari zote zinazohusiana na Habari, Makala, Michezo, elimu, Burudani pamoja na fursa mbalimbali duniani kote. news, education. sports

Est. 2019 mabibo
kacha

nauza urembo kwa ajili ya kina dada na kina kaka wazee na vijana waisasa ujipatie ukipendacho

Est. 2021 msimbazi
PARASOL SECURITY COMPANY LTD

SECURITY GUARD SERVICES

Est. 2019 KIVULE FREM KUMI MAGORE A
Health Suppliments

I sell health suppliments for your health

Est. 2008 Kinondoni
Store

Nanunua madumu tupu ya lita 20 , kuanzia 50 ,100, 200 na kuendelea .

Est. 2021 Mbuyuni,
Tanganigga

Home appliance

Est. 2020 ukwamani
Afya

Karibu kwa mahitaji ya food suppliment mbalimbali za kukinga na kutibu magonjwa sugu

Est. 2021 Mikocheni A
Golden S

Uhuzaji wa mafuta ya alizeti

Est. 2021 Makongo juu ECG
Dar tour

We are the Guides who will take you anywhere in Tanzania. We are very professionals. Waongozaji watalii, tutakufikisha popote Tanzania bila shaka ya aina yoyote ile.

Est. 2017 Dar tour
mdau yacole

Real estate

Est. 2010 mdau yacole
Ryne handcrafts

magaliousyirene@gmail.com

Est. 2017 0715677644