Dar es Salaam • Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Nguo
We provide investment education and guidance towards real investing.we also secure funds for those who want to invest with/in us, we are developing an application that will enable Tanzanians to invest in African and the world stocks online
nkyacalvin06@gmail.com
bidhaa za afya ya uzazi kwa wanawake
KARIBUNI KWA MAHITAJI YA KUUZA NA KUNUNUA MAGARI MAPYA TOKA JAPAN,SINGAPORE,UK & SOUTH AFRICA NA USED HAPA TANZANIA TUWASILIANE KUPITIA CALL ,TEXT & WHATSAPP nō 0658574303 instagram MZARAMO_MOTTORS
Tansisters444@gmail.com
lubanodlight@gmail.com
JIPATIE BATI YA MSOUTH KWA TSH 28,000⠀ TOKA KIWANDANI NA USAFIRISHIWE BURE MPAKA MKOANI KWAKO KARIBU SANA.⠀ ⠀ TUNA AINA ZOTE ZA MABATI BORA IMARA NA YA KUDUM NA YENYE UBORA URIO PITISHWA NA TBS ⠀ ⠀ BEI ZETU NI KAMA ZIFUATAZO:⠀ ?G30 ni Tsh 28,000/=migon
Kiatu MEDIA Graphic Designer & Printing Magazines Flyers Brochures Business Cards Billboards Company Profiles Books etc.
ESSENTIAL OILS
Wauzaji wa nafaka aina zote kwa bei ya jumla na mafuta kula aina ya sunflower au alizeti kutoka singida
ni vifaa vya production na vyakula
starmnonda7@gmail.com
ELECTRONICS
Nopho Engineering ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusisha na utafiti wa maji ardhini, uchimbaji visima, ufungaji wa mifumo ya maji viwandani, majumbani na mashambani, usafishaji visima na matengenezo ya visima na pump.
spark plug
rashidmussa997@gmail.com
Biashara yangu inajiusisha na maswala ya urembo
Dawa za kupunguza uzito na lotion mbalimbali
Dawa za kupunguza uzito na lotion mbalimbali
Tunauza simu za dubai, korea na vietnam
Tunauza nguo za mtumba za kike aina zote kwa bei rahisi kabisa duka letu lipo mawasiliano karibu kabisa na chuo cha sheria au follow instagram page yetu @Harper clothing store.
natengeneza seat cover za magari aina zote roof za gar na bamber zake pia pazia za bajaji na roof zake na pia sofa aina zote nafanya repair za sofa aina zote tunafanya kaz paka nyumbani na kwa uaminifu kabisa
Wood and metal decor Interior and exterior design Pergola, patios and furnitures
Rickxonnnanyaro@gmail.com
Tunatoa huduma za mifugo zikiwemo. 1. Matibabu ya mifugo na ushauri. 2. Tunauza vifaranga vya Broilers, Layers na Kuroiler. 3. Tunauza vifaranga vya kanga na bata mzinga. 4. Tunatoa elimu na mafunzo ya ufugaji. 5. Tunajenga mabanda ya mifugo.
Tunauza sim zetu Original
merymaturo6@gmail.com
SAMSUNG GALAXY A6
Sales, maintainance and Installation of Fire Extinguishers
reysonmjungi@gmail.com
Nauza nakutengeneza fenuture
Uuzaji wa viatu na pochi za wadada
ikhaaprimaryschool@gmail.com
House for rent
nassoroselenan79@gmail.com
Dr. Afya Gain.. Ni Wataalamu Wabobevu tunao toa Huduma za Afya ya NDANI na NJE ya Mwili, kama zifuatazo:
1-*Tuchoma nyama zote 2-*Tunatengeneza supu na michemsho yote 3-*Tunasuply vinywaji kwa sherehe zote 4-*tunatoa huduma za mapambo 5-*Vyakula vya sherehe Aina mbalimbali
Wauzaji wa jumla na rejareja wa dagaa nyama pamoja na bidhaa nyingine za chakula.
KWA MAJINA NAITWA TOM NAJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA MAZIWA (MTINDI NA YORGHUT) KWA ODA KWANZIA LITA 5 KWA BEI NAFUU ZAIDI KARIBUNI