All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

FUNDI FRIJI DAR

Est. 2026
2026
Established
0
Products
Dar es salaam, mwenge, bunju, kawe, kimara, ubungo, temeke, sinza, mbweni, mbezi beach, tegeta, goba, tabata, manzese,
Operating Zone
About This Business

Fundi Friji Dar — Matengenezo na ukarabati wa Friji & Freezer. Huduma ndani ya Dar es Salaam. 📞 0741 811 196


FUNDI FRIJI DAR Fundi wa Friji na Freezer Dar es Salaam Fundi Friji Dar ni huduma ya kitaalamu ya matengenezo na ukarabati wa friji na freezer kwa wateja wa majumbani, biashara, maduka, migahawa na maeneo mengine ndani ya Dar es Salaam. Tunashughulikia matatizo mbalimbali ya friji na freezer, kwa lengo la kurudisha kifaa katika hali nzuri ya kufanya kazi. Huduma Zetu - Matengenezo ya friji - Matengenezo ya freezer - Friji kutokota / kutopoa vizuri - Freezer kutoganda vizuri - Compressor diagnosis na replacement - Gas charging na leak checking - Electrical troubleshooting - Thermostat na control replacement - Door gasket na matatizo ya mlango - Cleaning na general servicing - Diagnosis ya matatizo ya mfumo wa refrigeration Kwa nini uchague Fundi Friji Dar? Tunatoa huduma za matengenezo ya friji na freezer kwa kuzingatia uchunguzi wa tatizo kabla ya kufanya repair. Tunatumia vifaa vya kazi vinavyofaa kwa kazi za refrigeration na tunatoa maelezo ya tatizo na kazi iliyofanyika kwa mteja. Pia huduma zote zina warranty ya miezi 3 Tunahudumia Dar es Salaam Tunatoa huduma katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, kulingana na upatikanaji na eneo la mteja. Huduma za Fundi Friji Dar zinapatikana kwa: Dar es Salaam na maeneo yanayozunguka. Unahitaji Fundi Friji? Kama friji yako haipozi, freezer haigandishi, compressor inakata, friji inatumia umeme mwingi au una tatizo lingine la refrigeration, wasiliana nasi kwa uchunguzi na matengenezo. 📱 WhatsApp: 0676 111 196 📞 Simu: 0676 111 196 FUNDI FRIJI DAR Matengenezo ya Friji na Freezer — Dar es Salaam

Office Zone Dar es salaam, mwenge, bunju, kawe, kimara, ubungo, temeke, sinza, mbweni, mbezi beach, tegeta, goba, tabata, manzese,
Address Mbezi beach dar es salaam
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.