Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 7 of 70
PHOTOGRAPHY

KWA PICHA NA VIDEO BORA FANYA KAZI NASI. MUSSAPHOTO &VIDEOGRAPHY

Est. 2016 Ferry
PHOTOGRAPHY

KWA PICHA NA VIDEO BORA FANYA KAZI NASI. MUSSAPHOTO &VIDEOGRAPHY

Est. 2016 Ferry
Kullaya Kids Accessories

Uuzaji wa Nguo za watoto na vifaa vya watoto aina zote.

Est. 2021 Kullaya Kids Accessories
masogoa waterwell drilling

juniorfirst52@gmail.com

Est. 2019 juniorfirst52@gmail.com
Kullaya Kids Accessories

Tunauza Nguo, Viatu na vifaa vya watoto aina zote. NB:MTUMBA IMARA NAMBA MOJA

Est. 2019 Kullaya Kids Accessories
Hardwood fanicher

Tunatengeneza fanicher aina zote kwa bei nafuu Sana kwa kutumia hardwoods , softwood mbf malinbord n.k kwa mawasiliano piga simu +255717407651 au njoo WhatsApp kwa namba hiyo hiyo

Est. 2006 Makumbusho
Emraizermedia

Biashara hii inahusu habari za watu maarufu Tanzania na nje na taarifa mbalimbali na pia unaweza kudownload miziki mbalimbali ya wasanii

Est. 2020 Sinza
NICE Tanzania

Consultants wa Project and Planning Management, Strategic Planning, Organizational Development and Leadership. Trainers and Mentors wa Project and Planning Management, Strategic Planning, Organizational Development and Leadership.

Est. 2018 Makumbusho
Trinity Car rentals

Kukodisha magari ya harusi,sendOff,video shoots

Est. 2019 Kinondoni
Nguo

Mens clothes

Est. 2021 kongo na mchikichi
SEPTIC TANKS ZA KISASA

Tunajenga Biodigester Septic Tanks pamoja na Soak Away Pit, Mfumo wa ma-karo ya maji machafu ya kisasa ambayo hayajai kwa kupoteza maji ardhini. Mfumo huu hauchafui mazingira, unatumia eneo dogo, na ni gharama nafuu ukilinganisha na mifumo mingine. Wasiliana nasi: 0769967767

Est. 2021 Kimara
Afsa kokoto

meelamartin116@gmail.com

Est. 2021 0654240254
Photography

Sendoff|Wedding Coverage|Birthdays|International Bookings. Photoshoot coverage.

Est. 2019 Makabe
Uhuru Peak Glacier

Uhuru Peak Bar is a full service bar and restaurant we are equiped with HD Flat Screen TVs, Great Deejays Free Internet (Uhuru Peak Bar WiFi) and unrivaled menu. We are located in Kinondoni, Dar Es Salaam opposite Vijana Hostel and Mango Bar

Est. 2011 Vijana bus stop kinondoni
zigy

ndimbojackson485@gmail.com

Est. 2020 0688888749
RM _POULTRY _EQUIPMENT

uuzaji wa vifaa na mabanda ya kuku

Est. 2021 tegeta nyuki
Mbuzi tanzania

Tunauza mbuzi = kondoo = na nyama Tunachoma ndafu pia

Est. 2021 Jagwani
Lejutehomecare

Tunauza Sabuni za kusafishia ~Masink ~Tiles ~Oven ~Fridge ~Vyombo ~Kuta zilizochafuka ~Masofa ya Aina zote ~Macapet ~Sit za Magari ~Viti

Est. 2021 Sinza Madukani
kilimo_uti_wa_mgongo

mbolea YA SUPER GRO na bidhaa za usafi kama super10,CARE, LDC na carpet gro

Est. 2021 magomeni
Mafuta ya mnyonyo(castor oil)

Tunauza castor oil kwa bei ya jumla tu,ni mafuta ambayo hayajachanganywa na kitu chochote

Est. 2017 Kariakoo
pikipiki mpya

spares za pikipiki

Est. 2021 kariakoo
Nguo za watoto

Pata nguo za watoto grade a kwa wauzaji wa rejareja nafungua balo

Est. 2020 Mbezi stand
Mchele

Mchele super kutoka ifakara kilo moja sh.1900 free delivery kwanzia kilo 5

Est. 2019 Tabata barakuda
Mchele

Mchele super kutoka ifakara kilo moja sh.1900 free delivery kwanzia kilo 5

Est. 2019 Tabata barakuda
Neolife foundation

Product za usafi wa maofisini na majumbani kama vile super10, care, carpet glo, G1 loundry hii ni sabuni ya kufulia na inafua yenyewe

Est. 1958 Neolife product
SABRAH BUSINESS

hamisabeid25@gmail.com

Est. 2021 hamisabeid25@gmail.com
Lucie delicious cakes

Bakery

Est. 2020 Salasala maduka mengi
BIN SADDON TEXTILE

Vitamba jumla vya shule,harusi, sherehe sutizakiume na zakike,lacey,vitamba za msimu wabaridi na joto,metallic material,etc

Est. 2000 Mta wa likoma
Petcare

Tunauza chakula cha mbwa, chakula cha paka, Vet serices.

Est. 2020 Sayansi, opp ttcl
BM Watch Master

Ni wauzaji wa saa kwa jumla&Rejareja

Est. 2017 Goba Comtena
image zone

Tunauza na kuandaa picha nzuri za ukutani -Canvas,picha mbao na picha za frem

Est. 2020 Kinondoni biafra
NAFAKA

Choroko Dengu Mbaazi Kunde Mtama Vanilla Korosho

Est. 2015 Tazara
wauza tv

jonsonihemedi997@gmail.com

Est. 2016 jonsonihemedi997@gmail.com
Kahawa Afrika Inv Limited

Packaging and distribution of locally fresh roasted coffee and spiced tea

Est. 2017 Mbweni jeshini
JIMMY AGENT PUB

Safe & Nice place to refresh your mind

Est. 2015 Jimmy Agent Buza Sigara
Ngomaikola shop

Nauza nguo mbalimbali za watoto na watu wazima

Est. 2019 Ngomaikola shop
shamy collection & shamy bedsheets

mashuka,na bidhaa za kike

Est. 2021 jet lumo
TONY MAGARI YALIYOTUMIKA NA MAPYA

MAGARI

Est. 2013 UWANJA WA TAIFA
wamalink cleaning service

tunatoa huduma ya usafi majumbani, maofisini, shuleni, hospitali, vyuoni, viwandani na sehumu zote zinazohitaji usafi, tunapuliza na kunyunyiza dawa ya kuondoa wadudu wasumbufu kwenye mazingira ya ndani na nje kwa kutumia dawa rafiki za mazingira.

Est. 2018 urafiki flat