Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 10 of 70
bertha- trend

Mashati, miwani, magauni, chupi, suruali, vest ,boxer na bukta

Est. 2018 kariakoo msimbazi
One.ly store

Kwa accessories zote za kike kuanzia hereni, cheni, bracelet, miwani, wallet na mikoba utapata kwetu. Karibu

Est. 2021 Sinza
tangastone building material

Mawe ya urembo

Est. 2019 magar saba
bm master plan

bashirumbeguu@gmail.com

Est. 2018 0692048228
bussconnect

bidhaa za nyumbani, jikoni, urembo, dagaa n.k

Est. 2021 kidarajani
A&B PROFESSIONAL BROKERS

abrokerstz@gmail.com

Est. 2020 abrokerstz@gmail.com
MLOWE DESIGNS TZ

Ramani za nyumba (ARCHITECTURAL design) Ujenzi wa nyumba

Est. 2017 Kimara michugwani
Bragen Party Rental

Wakodishaji wa vifaa vya mapambo

Est. 2017 Tabata,Segerea 6G5X554P+G7 Google location:bragen Limited
Chapakazitz

Ni website yenye kazi hivyo watu wanaotafuta kazi wanaruhusiwa kuingia kuomba kazi

Est. 2021 Sayansi
Generation

Wauzaji wa Bidhaaa mbalimbali jumla na rejareja . NGUO (WAKUBWA NA WATOTO) VIATU(WAKUBWA NA WATOTO) MABEGI. SIMU TELEVISHENI KOMPYUTA.

Est. 2019 generation
Safeway digital security

Tunasambaza na kutoa huduma ya installation katika huduma mbali mbali kama 1. CCTVcamera 2.Electric fence 3.Biometric and access control 4.Fire alarm system 5.Alarm system 6.Air condition supplyand installation 7.house decoration 8.gatemotor installation

Est. 2016 Makumbusho
urembo

saidsaidkihomile@gmail.com

Est. 2021 saidsaidkihomile@gmail.com
TIIBO Software Tanzania

Tunatoa huduma ya kuwafundisha watu namnna nzuri ya kutumia Software mabalimbali Software tulizo nazo ni SAGE 300, Evolution, X3 na Quickbooks online. Tunatoa huduma popote pale Tanzania. Wasiliana nasi kwa +255783534949 au www.duxte.co.tz

Est. 2018 Triple 7
NYAMA YA NGOMBE

Mimi Jose Ni mfanyabiashara ya nyama ya ngombe katika machinjio ya Vingunguti Kama unahitaji mahitaji yoyote kuhusu nyama na mazao yake inaweza kuwa kwa kitoweo nyumbani, kwenye sherehe, shughuli,na kikubwa kwa biashara karibuni sana. Wasiliana0678773737

Est. 2017 Vingunguti machinjioni
NYAMA YA NGOMBE

Mimi Jose Ni mfanyabiashara ya nyama ya ngombe katika machinjio ya Vingunguti Kama unahitaji mahitaji yoyote kuhusu nyama na mazao yake inaweza kuwa kwa kitoweo nyumbani, kwenye sherehe, shughuli,na kikubwa kwa biashara karibuni sana. Wasiliana0678773737

Est. 2017 Vingunguti machinjioni
KIBAHAA KWA MATHIAS

Viwanja vipo KIBAHAA KWA MATHIAS . SQM 1=7000 Kiwanja cha sqm 400 (20*20) Unalipia 2,800,000. Umbali kutoka main road km 4. Baada ya malipo unapata Hati yako Huduma za kijamii zipo maji ya dawasco,umeme ,shule , Hospitali na barabara zinapitika mpaka site

Est. 2017 KIBAHAA KWA MATTHIAS
ongezeka autoparts

spare za mabasi makubwa ya kichina kama yutong, sunlong, higer,golden dragon,asia star, zhonton

Est. 2021 mbezi stand ya Magufuli/ mita 300 toka stand
nivleckevo

kp0623987811@gmail.com

Est. 2015 kp0623987811@gmail.com
raziaonlinestore

Tunaagiza mizigo kutoka CHINA.

Est. 2020 Goba centre
Faysha Fashion

Its Online Business? Nauza Nguo,Viatu,Cosmetics,Foodstuffs? Yhua All Welcome? #WeMakeYouLoveYourself♥️

Est. 2017 Magomeni Mapipa
Whahli Tyres Center

Tyres Battery Rim

Est. 2015 0757752160
MGUNDI TECHNIAN

fundi umeme na vifaa vya umeme vyote

Est. 2018 mission __mbagala
annakids-fashion

Tunaagiza Nguo za watoto kutoka Turkey kwa Wateja wa jumla na rejareja whatsApp kupitia number 0758029084 Pia tunaduka la Nguo za watoto tunapatikana Mwenge

Est. 2019 Mwenge
Sharose Enterprise

Tunatoa ushauri, mafunzo na kufanya usajili wa Makampuni na Majina ya biashara kwa kutumia mfumo wa BRELA ORS. Tunaandaa Michanganuo ya biashara, Matangazo ya biashara, nembo za biashara/Logo.

Est. 2018 Bunju B
Essence Driving Schools

Tunatoa huduma za udereva wa Magari, pikipiki na Bajaj kila siku kuanzia saa 12:30 asubuhi mpaka 12:00 jioni. Wewe ndo unachagua mda rafiki kwako katika siku

Est. 2019 National Institute of Transport
Modee

Tunauza saa za aina zote,wallets na glasses kwa bei nafuu sana. Tunafanya delivery kwa dar na mikoani kwa uaminifu mkubwa ?. Karb tukuhudumie ??

Est. 2021 Kimara
Jay4

perfume za kupima na mayai ya kienyeji

Est. 2021 Mbezi
Veronica Atle

Habari njema kwa wamama na wadada wanaosumbuliwa na magonjwa Kama PID sugu Harufu mbaya ukeni Fangasi sugu Uke mkavu UTI sugu Hormonal imbalance Vimbe kwenye kizazii Kukosa ujauzitoo n.k Tunayotibaa ya tatizo lako na bila kurudiwaa Tena kwa kutumia njia ya asili kabisa Unaweza ukawasiliana nasi kupitia 0625001089 Karibu

Est. 2006 mbezi mwisho
Fundi Rejeta Na waujazi wa Rejeta na vifaa vyake

Fundi Rejeta Na wauzaji wa vifaa vyake

Est. 2020 Karume
interior design

Ngowidesign29@gmail.com

Est. 2020 0656296029
TAKE 2 TECHNOLOGY

VITU VYA ELECTONIC ZAIDI NI LAPTOP HDD KEYBODDY DESKTOP =

Est. 2016 CHINA PLAZA
Dar Furniture Imara

shubikaiza1@gmail.com

Est. 2021 shubikaiza1@gmail.com
furniture

furniture zandani na madukani

Est. 2021 yombo
Afya neolife tz

madawa

Est. 2021 devis cona
Fundi dish dsm

daudmathew00@gmail.com

Est. 2021 daudmathew00@gmail.com
Chloe fragrance

Ni wauzaji wa perfume aina ya oilbased perfume jumla Na rejareja pia tunatoa ushauri Na mafunzo yote kuhusu biashara hii Iwapo Mteja atakuwa tayari kuanza biashara hii Na kununua bidhaa kutoka chloe fragrance .

Est. 2021 Mawasiliano bus stand
duge computers

isduge5@gmail.com

Est. 2018 isduge5@gmail.com
Dullu Health Products

Afya

Est. 2021 banana
Your Health

Erickjombe098@gmail.com

Est. 2021 0746720230
Dressmark Company Ltd

KUBUNI NA KUSHONA NGUO ZA JINSIA ZOTE.

Est. 2020 Sinza