Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Prime milk
Karibun maziwa mazuri fresh , mtindi na yoghurt wa ngombe wa kienyeji uliotayarishwa kwa usafi wa hali ya juu.nunua maziwa kwa mfugaji halisi na sio mchuuzi anayeongez baadhi ya vitu ili kupata faida ngombe wapobunju pamoja na bagamoyo ofisi ipo m.city
Est: 2018,
Mliman tower
huduma ya mkopo kwa kadi ya gari
Tunatoa mkopo wa kuanzia milioni mbili mpaka 30 kwa dhamana ya kadi ya gari kwa riba nafuu
Est: 2015,
mnazi mmoja
Vee_collections_tz
Nauza nguo za kiume mashati,tishert ,jeans pia nauza pochi za wadada na wamama
Est: 2019,
Hugo house
Luxxury_scents
WAPENDWA
Karibuni luxxury_scents kwa mahitaji ya parfumes for ladies& gentlemen
perfume zetu ni High-Quality Long lasting OIL BASED PERFUMES that will absolutely meet your expectations zinanukia vizuri sana for 78hrs
50ml =35000
30ml =25000
15ml=15000
Est: 2021,
Goba center ,we deliver
Nauza Windows 10 bootable
{Windows 10 service.
Nafanya installation ya windows 10 kwenye pc.
{Nakuja mpaka mahali ulipo kama unahitaji huduma piga hii no 0742604820.
{Note: Huduma inapatikana Dar Es Salaam tu!!
Est: 2021,
Kinyerezi
Mchele
Ninauza mchele wa kutoka mbeya ni mzuri sana ,mtamu kwa bei ya sh 1500 kwa kilo 1
Est: 2021,
Tegeta
Edale design
Tunashona nguo za kike na za kiume za events mbalimbali kama za maharusi,sendoff,kitchen party, official wear,etc
Est: 2020,
urafiki police
PLATINUM CREDIT LTD
Platinum credit ltd, ni kampuni ya utoaji wa mikopo midogo midogo ya kifedha kuanzia Tsh milion moja (1m) mpaka milioni thelathini (30m). mikopo hii inatolewa kwa dhamana ya kadi ya gari. mikopo hii inaliba , interest ya 3.5% kwa mwezi.
Est: 2010,
FYAKATI TOWER
royal-kitchenware-collection
vyombo vya jikoni na Mashine za kurahisisha kazi za jikoni.
Est: 2021,
Temeke stereo stand ya bajaji za yombo kilakala
Ushonaji nguo
Nina shona nguo za jinsia zote na rika zote, Unachagua mshono wako kulingana na kitambaa chako. Ninakushonea kwa bei nzuri kabisa
Est: 2020,
Nyumba Nyeupe
Computer and Smartphone accessories
Tunadeal na uuzaji wa vifaa vya simu na computer kama earpods,earphone headphone,PS &PC controller
Est: 2019,
Kariakoo
plumbing
utengenezaji wa vyoo vya kisasa, pamoja na vifaa vya chooni ,(toilet hardware)
Est: 2015,
kibega mbondo
KennySportswear
Tunauza nguo za mazoezi,mtumba grade One.
Nguo ni mzuri bei poa sana
Est: 2020,
Kenny
Kuchele Printing
We are mid size printing company, who offer the following services, Printing Mabango, graphics designing,web designing,motion graphics, logo,banners, rollup banner, company profile,stationery,labels, music production pamoja na video production.
Est: 2015,
Sisimizi street
utalii kisarawe
Utalii katika mazingira asilia ya msitu wa pugu kazimzumbwi uliopo kisarawe pwani
Est: 2021,
USHOROBA KISARAWE
quality septic tank
Tunatengeneza mfumo wa kisasa wa maji taka ambao,
Haujai
Hauoi harufu
Huchukua eneo dogo
Hustahimili sehem yenye chemichemi
Hauzuii kuweka gadern, paving na packing
Est: 2017,
mjimwema
Mwajeys vijora point
KARIBUNI SANA MWAJEYS VIJORA POINT
TUNAUZA VIJORA VYA MOMBASA
?NI VIZITO
?VIREFU NA HAVIRUKI HATA UKIFUA
? VINA MITANDIO MIKUBWA SANA
karibuni sana?
Kwa wateja wote wa jumla na rejareja
Jumla 12000
Rejareja 15000
Karibuni sanaaa
Est: 2020,
Madafu
Adam_chicken supplier
KUKU BLOILER, WAKIENYEJI, WAMAYAI NA MAYAI YA KIENYEJI NA MAYAI YA KISASA.
Est: 2004,
mwananyamala sokoni
Tan Biz Link
We assist Businesses and Investors in all steps for Investing & Doing Business in Tanzania, From Company Registration to Facilitating different Licenses, Permits, Incentives etc.
Est: 2020,
Tan Biz Link
Jumba la vitenge
Vitenge Original vinapatikana kwa bei nafuu.
Tunauza jumla na rejareja
Tunafanya Delivery kwa dar na kwa mikoa yote na nje ya nchi tunatuma ????????????
Location: Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Raha na Mhonda
Karibu sana
Est: 2021,
Dar es salaam,kariakoo
Dar New Furniture
Jipatie furniture za kisasa kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Tunapokea order pia tunatengeneza na kudesign furniture aina zote.
>Kitchens cabinets
>Tv showcase
>Shoe racks
>Kabati za nguo & vyombo
>Coffee table n.k
Tupo Mwananyamala A. Ccm myinyijuma. Free delivery kwa dsm na mikoani tunatuma
Call/text 0687 132 776
Direct Whtsap wa/me.255687132776
Est: 2015,
Mwananyamala