Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Big brand in town kalanga pesa(mcherepesa
emmanuelibrahi@gmail.com
Est: 2021,
emmanuelibrahi@gmail.com
Tiles decoration
Kwa maitaji ya ufundi wa tile,muzak,Mabo swimming pool finishing & tanga ston.(contact no +225 714 733 828 )
Est: 1988,
Tandale
UNGA WA LISHE
Usiumize kichwa kwasababu ya maandalizi ya UNGA WA LISHE kwaajili ya mwanao na familia kwa ujumla MKOLWE PRODUCTS inakuletea UNGA WA LISHE BORA kwa bei ya Tsh.2500/= UNGA wenye protein yakutosha, calcium, phosphorus, zink na magnesium karibu sana
Est: 2021,
MKOLWE PRODUCTS
MD TV
MD TV ni online channel ambayo inarusha mambo mbali mbali., ikiwemo kipindi cha THE INTERVIWS kinacho ruka kila Jumanne. pamoja na v
Est: 2018,
Nljcc Makimbilio
MALLYA BRICKS FACTORY
Uzalishaji wa Tofali
Uuzaji Tofali na vifaa vyote vya ujenzi
eg Cement, Mchanga, Kokoto nk
Est: 2019,
Kwa Asenga (Msakuzi)
SIMU_QUALITY
Tunauza simu aina zote, (smartphone na simu ndogo za button) kwa bei ya jumla.
Tunauza kava za simu pamoja na glass protector.
Simu zetu ni original na zenye ubora ubora wa hali ya juu, kwa bei wezeshi kwa kila mtu.
Pia tunatoa ushauri kuhusu chaguzi za simu kwa matoleo mbalimbali.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa aggrey.
Est: 2020,
Aggrey
BOXER CC 150 NEW MODEL PIK PIK BADO MPYA
Tunauza pik pik used na bajaji pia tunatuma kwa uwaminifu
Est: 2021,
k.c.b bank mbagala zakhem
DODOMA SUNFLOWER MILLS
WAUZAJI WA MAFUTA YA ALIZETI
ASALI YA NYUKI WADOGO NA WAKUBWA
KARIBUNI SANA
Est: 2017,
KINONDONI STUDIO
Ichi store
Tunauza dawa za kuongeza hamu ya kula kwa haraka kwa wale wanaoteswa na shida ya kula na wembamba uliopitiliza
Est: 2019,
Makumbusho
UFUNDI UMEME EA MAJUMBANI
Maybe mi ni mtaalamu was ufundi umeme was majumbani pia kudisin mpangilio mzuri was muonekano was taa ili kuipa nyumba thamani
Est: 2018,
Kumara mwisho
Vegetable mint & Basil
Mint & basil niviungo vizuri ambavyo unaweza kutumia kwenye chai na cocktail pia haya kwenye nyama bia husaidia sana mwilini
Est: 2021,
Kanondo
BULEMBO TRADERS LIMITED
CLEARING AND FORWARDING SERVICES AS WELL AS INSURANCE AGENCY
Est: 2004,
Tazara mfugale fly over
Nyafungo electronics
Tunauza simu Aina zote pasi majagi wireless Bluetooth subufa Sola feni na vingine vingi tunapatkana kariakoo dsm huduma zetu tunatoa mpka mikoani buree na unalipia baada yakuona na kuridhika na mzigo karbuni sana
Est: 2019,
Kariakoo mtaa wa Agrey
JUICE
Pata FRESH ORANGE JUICE ni juice ambayo haijachakachuliwa kwa maana haijachanganywa na maji wala sukari ni machungwa tu 100% inatengenezwa kwa mashine na kwa ubora na usafi wa hali ya juu.
Est: 2020,
Kimara Temboni
uwanja na nyumba
ni uwanja uliomo nyumba wenye urefu na upana 17/11 , kutoka lami adi apo ni km1 uwanja nitambarare na upo sehen nzuri
Est: 2021,
kanisani maramba
Dable D collection
Jipatie Abaya quality kwa bei nafuu sana
Kwa mawasiliano zaidi 0693590960
Est: 2021,
Kilungule
Jaydan Group.
upvc and aluminum windows and doors system
balcony, glass baluster
Est: 2012,
boko ccm
ChykuAccessories
Wauzaji wa urembo mbalimbali jumla na rejareja (Saa, Hereni, Cheni,Bangili, Miwani)
Est: 2020,
Buguruni
rashidi fundi
naitwa rashidi fundi nipoapa kwa kazi sa finishingi kwenye nyumba yako kalibuni maboc c zangu napatikana buza dar
Est: 2021,
buza
fundi kupauwa
Kupauwa majumba tunachonga milango makabati ya ndani na jikoni tunapiga blandalingi
Est: 2021,
segerea
ONGEZA KIPATO CHAKO
Tunajihusisha na utoaji elimu Kwa wajasiliamali ,itakayo wasaidia kuongeza kipato chao cha ziada bila kuathiri shughuri zao za kila Siku. Karibu,upate elimu itakayo saidia kuinua kipato chako. KARIBU SAANA
Est: 2020,
Burton
MichIQFmatiliotz
Biashala yangu inajihusisha hasa na matilio ya nguo kiujumla vifaa vya ushonaji mfano vitamba urembo na kadhalika
Est: 2019,
Goba
Sally-Fashion1
Tunauza nguo kutoka uturuki,Material ? quality,Tunapatikana sinza Makaburin opposite na shell ya lake oil
Est: 2021,
Sally-Fashion1
Viatu
Nauza viat vya kiume na wakina dad na watu wazima na official shoes ? za office napenda sana wateja zangu pia ukitaka uduma zetu utafanyiwa direvery popote ulipo mzigo wako utakufikia tena kwa uwaminifu zaidi welcome shop Tunapenda wateja ?
Est: 2021,
Kongo tower
Moja furniture
Tunatengeneza na ku repair furniture za majumban na ofisini tunapatikana chang’ombe maduka mawili
Est: 2021,
Chang’ombe maduka mawili