Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 18 of 70
Viatu

Nauza viat vya kiume na wakina dad na watu wazima na official shoes ? za office napenda sana wateja zangu pia ukitaka uduma zetu utafanyiwa direvery popote ulipo mzigo wako utakufikia tena kwa uwaminifu zaidi welcome shop Tunapenda wateja ?

Est. 2021 Kongo tower
magssprinting

wajeryloyd@gmail.com

Est. 2020 wajeryloyd@gmail.com
Moja furniture

Tunatengeneza na ku repair furniture za majumban na ofisini tunapatikana chang’ombe maduka mawili

Est. 2021 Chang’ombe maduka mawili
The one retail

Kununua na kusambaza bidhaa zote za nyumban

Est. 2018 The one retailer
beauty and cosmetics

perfumes

Est. 2021 sinza
iPhone Original Shop

Kuuza simu mpya na original

Est. 2021 Mwenge
Marphatmedia

Tunatoa huduma ya Graphics Design ya aina zote kuanzia Magazine na vingne vingi pamoja na printing

Est. 2015 Ilala kota
loraa kids wear

nguo za watoto

Est. 2021 kwa ustadhi
Transport servirces and booking

Tunatoa huduma ya usafirishaji wa parcels mizigo kutoka Dar kwenda mikoa yote Kukata tiketi za mabasi yote kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania na nje Kwenda nchi kama Kenya ,Uganda

Est. 2021 Mbezi luois
Asa Electronics

Electrical installation, CCTV camera, Electric fence, Mobile phone

Est. 2021 Asa Electronics
Tvane sourcing

*TVANE SOURCING AGENCY* ▪️Tunaagiza bidhaa mbali mbali kwa bei ya china Kama vile Mikoba (handbags,nainai& wallets) za kike na kiume,nguo Aina zote(wanawake,wanaume na watoto),Viatu Aina zote,vyombo,home decor and kitchen accessories

Est. 2020 Kivule-fremkumi
MASSANJA REALESTATE

Kwa mahitaji ya magari Nyumba Viwanja Yard N.k wasiliana nami kwaharaka sana tutafanikisha hitaji lako

Est. 2018 Kinyerezi
keko.furniture

furniture

Est. 2015 Keko
Shuka_is_bae

Nauza shuka kutoka pakistani na uganda pamoja na pazia

Est. 2021 Manzese
matemba_store

Mimi ni mfanya biashara wa “SAA” za mkononi saa za aina zote

Est. 2021 sinzakamanyola
SPORTS MASTER

Vifaa vya michezo ya aina zote pamoja na saa za mkononi na Smartwatchs

Est. 2000 Kariakoo nyuma ya club ya simba msimbazi mtaa unaitwa maneyma
Dreamy Party

lillianmtoka@gmail.com

Est. 2020 0628945361
bellaposh_collection

A clothing line based in selling grade A second hand clothes

Est. 2021 Kinondoni studio near boopak movie
Department

Used Electronics

Est. 2021 Africana
Al habib cosmetics

Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai

Est. 2021 Chuo
Al habib cosmetics

Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai

Est. 2021 Chuo
afya_tips.tz

epeter8866@gmail.com

Est. 2021 epeter8866@gmail.com
Women & men outfit

Njooo tukuveshe upendeze na ukae kijanja zaidi Tupo tandika Devis corner 0699860280

Est. 2019 Tandika,Devis Conner
bestlusa food products

Joycepeter2014.JP@gmail.com

Est. 2020 makumbusho
Meno _tanzania_ 2020

Huduma zote za kinywa na meno tu.

Est. 2018 Tabata segerea
Rosie_onlinecollection

Rosemaryernest5@gmail.com

Est. 2020 rosemaryernest5@gmail.com
VIRUTUBISHO

virutubisho vya afya ya binadamu

Est. 2021 Sinza madukani jengo la emirate
biashara mchanganyiko

lubricants and service

Est. 2010 0622260402
Vogue storetz

Karibuni vogue store.. Tunauza  bidhaa nzuri zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu.. Bidhaa zetu ni handbags, shirts, jeans za kike na kiume, t-shirts, viatu vya kike na kiume Kwa mawasiliano tupigie /whatsApp 0717480318..

Est. 2021 Makumbusho
Mwarabu_og perfume

Perfume

Est. 2017 Kariakoo
The Runway

Women Accessories

Est. 2020 Tabata
mkwena_laptops

Michaelmkwena818@gmail.com

Est. 2021 posta
FAIRDEAL AUTO PVT

PIKI PIKI NA BAJAJI ZA PIAGGIO

Est. 2010 Bibi titi road
Furahisha Electronics

Mobile phone and accessories

Est. 2021 Makumbusho bus stand
bute electronic

TV, SUBWOOFER, HOME THEATERS, SPEAKER, FAN AND FRIDGE.

Est. 2021 manyema
Balenga

ELECTRONICS

Est. 2021 Ddc hall
Welding

Tuna tengeneza glil za chuma mageti vitanda vya chuma meza stendi za mauwa navitu ambavyo vina tumia chuma ikiwemo madilisha ya Haluminium

Est. 2017 Mlima wa bwana makoka
Sashaproducts

UBUYU WA ZANZIBAR KWA BABU ISSA, SNACKS, PILIPILI & ACHARI

Est. 2018 Tandale Tanesco
Advalorem Attorneys

Ni Ofisi ya MAWAKILI inayotoa huduma za kisheria kama vile Kuandaa mikataba, kusajili makampuni, viapo, kusajili biashara, na kusimamia kesi mahakamani n.k.

Est. 2021 Sinza_ Mapambano
Simu tamu

nakuuza simu na vifaa vyake pamoja na ufundi

Est. 2021 kwa Hakimu