Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Gypsum za kisasa
Utengenezaji wa gypsum, showcase za Tv, upigaji wa rangi ndani na nje.
Est: 2014,
kijichi
Boxer mashat viatu vya kiume magauni vipochi na viatu vya kike
Biashr yetu inaptkn kariakoo msimbaz,, ukihtj tunakuletea popote...ulipo Bei zetu ni nafuu cna
Namb za Whatsapp.. .. 0737734065
Est: 2021,
Msimbaz
Alhabsy Creators
Tunatengeneza furniture daresalam na tunasafirisha mikoani
Est: 2020,
Mtaa wa arusha
BM fish and raw-honey SUPPLIERS
asali ya Tabora nyuki wa kubwa na wadogo bei jumla na reja reja, jumla 20L 160,000/=, nyuki wadogo 5L 130,000/=,
Dagaa wa mwanza wamekaangwa kwenye mafuta hawana mchanga kabisaa, jumla na reja reja ni biashara nzuri sanaa, tunauza jumla na reja reja.
wasiliana nasi +255 658 123 524, whatsup, call, sms. kote tuna tuma mzigo.
Est: 2020,
kinondoni
JRS CONSULTANCY
Tunahusika na huduma za kitafiti(research activities) kujengea uwezo watoto,vijana na wanawake.
Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu na instagram account
Est: 2016,
Mbezi beach shule ya JK nyerere
Vifaa vya mazoez tiba
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Est: 2020,
Mwembe yanga temeke
Vifaa vya mazoez tiba
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Est: 2020,
Mwembe yanga temeke
Home multi_products
Tunauza mapambo ya nyumbani kama vile sofa covers,net za mbu pamoja na mapazia.
Tupo dar es salaam lakini tunatuma pia na mikoani.
Est: 2020,
Mtaa wa agrey na sikukuu
Baby diapers
Tunauza pampers za watoto na watu
Tunapatikana mbezbeach tangibovu
Kwa mawasiliano : 0717166535
WhatsApp: 0782175953
Est: 2021,
Mbezbeach tangibovu
elvilabidhaazausafi
JE UNATAMANI KUONA VITU VYAKO KAMA
-KAVA LA GODORO(MATRES)
- SEAT ZA GARI
- CARPET
-SOFA
VINANGAA MUDA WOTE KAMA VIPYA NA HUJUI NINI KITAKUSAIDIA???
EPUKA GHARAMA OKOA MUDA
TUNA BIDHAA BORA NA ZINAZOFANYA KAZI BILA KUMWAGIA MAJI VIFAA VYAKO...
NDANI YA
Est: 1999,
sinza madukani
Lissa_classic
Biashara yangu inahusika na mambo ya mavazi ya kike na kiume
Est: 2019,
Kinondoni studio
Tuleeswear
Ninauza nguo za mtumba za jinsia ya kike, za kisasa, zenye ubora na kwa bei nafuu. Duka lipo Kigamboni- mnadani na linakua wazi kila siku za jumatatu bado jumamosi kuanzia saa 8:30 asubuhi mpaka saa19:00 usiku.
Est: 2021,
Kigamboni- mnadani (mwembe poa)
Furniture
Tunatengeneza Samani zote za ndani(furniture) vitanda,meza, kabati, show case na vingine vingii Karibuni sana Wateja
Est: 2010,
Tanzanite tower~mwenge furniture
Doa Insurance Consultant
Tunatoa Bima za Haina zote
1. Bima za Magari, pikipiki, bajaji
2. Bima za moto na wizi
3.Bima za Afya
4. Bima za kusafiri
5. Bima za ujenzi
6. Bima za Mifugo na kilimo
7. Bima za kusafirisha mizigo
8. Bima za Ajali kazini
9. Bima za udhamini
10. Bima za fedha
11. Bima za kitaluma ( prof-Indemnity)
12. Nk
Est: 2018,
Makumbusho Complex Building First Floor
4Dog_trainers__0656723750
Mafunzo ya Mbwa ,kuuza Mbwa,
Vifaa vya Mbwa, Chakula cha Mbwa
Est: 2021,
4Dog_trainers__0656723750
Foodie items
Jipatie bidhaa za vyakula kwa jumla na rejareja.ukihitaji cheese aina ya puck.almarai.nouvele vacche.Mozzarella.maziwa ya luna.Rainbow.condensed milk.Tuna.Nestle cream.karibu nikuhudumie
Est: 2021,
Rufiji street
GOJEHO TRAVEL
Tunakodisha magari aina zote kwenye Send off ,, Harusi ,,, Kwenye makampuni au masirika au msiba pia tuna safili mpaka nje ya nchi karibuni Sana au Tupigie kwa no 0672914661
Est: 2019,
Gojeho Travel
FreshAllDay brand
UPDATE YOUR SWAGG
KWA KUVAA TSHIRT YA FRESHALLDAY NOW
KWA BEI POA KABISA YA 15K
ZIPO KILA RANGI NA KILA SIZE
NAPOKEA ORDER YAKO YA NDANI YA DAR ES SALAAM NA MIKOANI PIA TUNATUMA
WASILIANA NASI KWA 0677203250
KARIBUNI SANA NA ASANTE KWA SAPORT YAKO
#FreshAllDay4Life
#FreshAllDay4Life4Ever
#FAD
Est: 2015,
dar free market
Muuza viatu vya kike na kiume
Tunauza viatu vya aina zote tunapatikana dar na mikoani deliver ipo ndani ya nchi na nje ya nchi karibuni tuwaudumie
Est: 2010,
Mushi mtoto
SKILLFY
Skillfy ni platform inayotoa online courses. utajifunza kozi mbalimbali ukiwa sehemu yoyote na kwa wakati wako. mafunzo yanatolewa kwa njia ya videos kwa lugha ya kiswahili, kupitia channel ya teleglam. Karibu sana
Est: 2020,
Gongo la mboto
Juice Bar
Nauza juice za matunda aina zote,smoothies pamoja na fruits salad za aina mbalimbali.
Est: 2021,
Mbezi,kibanda cha mkaa.
DARUESH ELECTRICD MONEY TRANSFER
DEMT,niwajasiliamli wa dgo wanao toa hudum zao kwa kiwango kizuri na ubora wa Hali ya ju,na kujali thamni ya mteja
Est: 2016,
Daruesh
mamaqailah_store
Bishara yangu ni ya Online,
Nauza nguo kwa jinsia zote,mikoba,Viatu kwa jinsia zote,Urembo,nk
Est: 2019,
mama qaila