Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Mathew_phone tz
Wauzaji wa simu aina zote
Simu zetu ni mpya kabisa(sealed)
Uaminifu ndio nguzo yetu
Quality in Affordable price
Location: kariakoo Uhuru na Msimbazi street
Est: 2018,
INFINIX BUILDING
Virutubisho lishe
Virutubisho lishe
-kupunguza uzito
-kupunguza kitambi
-kutibu vidonda vya Tumbo
-kutibu pressure na kisukari
-kusaidia kuponesha magonjwa mbalimbali na changoto mbalimbali za kiafya
Est: 2012,
Edmark Tanzania
DON PRINCE OFFER SHOP
Nauza jumla na rejareja vitu vifuatavo
1.viatu vya kike na kiume
2.vifaa vya Afya
3.Nguo za kike na kiume
4.Rasta aina ya prima
5.Sandal za kike na kiume
Est: 2021,
Boko
A&G logistic ltd
Clearing and forwarding tunatoa mizigo km gari na containers kupitia bandar ya dsm
Est: 2017,
Kituo cha chai gerezani 5th floor
Zubu Decoration
Karibuni Zubu Decoration kwa huduma ya Mapambo na kukodisha vifaa vya Mapambo kwa Ghalama nafuu kabisa
Est: 2017,
Ukonga Mombasa Stend ya zaman ya mosh bar
Uuzaji wa hisa
Umuhimu wa kumiliki hisa JATU
▪️Kushiriki kwenye miradi ya kilimo
▪️Kupata gawio Kila mwaka
▪️Kupata fursa za uwakala
▪️Hisa za Jatu zinapanda bei kila siku, hivyo unaweza ukauza na kupata faida kwa bei ya juu
Kwa mawasiliano 0769238185
Est: 2016,
Saba saba maonyesho
BAN paints center
Tunauza,Tunachanganya na kusambaza Rangi Aina zote ndani ya dar es salaam, mikoani pia tunatuma.
Est: 2019,
Kisukuru
Jumbe nzuri kwenye Tshirts
Tunaprint jumbe zozote utakazohitaji kwenye Tshirts kali. Pia utapata kwa rangi yeyote utakayoipenda. Mikono mirefu au mifupi. Bei ni Tshs 20000 kama ni moja, kama utatoa oda kuanzia Tshirts 5 basi bei inapungua mpaka 17000. Karibuni sana.
Est: 2021,
PesaTuzoee
Propertynet Africa Ltd
Propertynet Africa Ltd inahusika na uzaji wa viwanja kwa cash na mkopo miradi ipo .Kigamboni Cheka beach plot sqm1@ 15000 unalipia asilimia 10 baadae asilimia 5 kila mwezi kwa muda miezi 18 tu
Est: 2017,
Kigamboni cheka
DELLAH CAR TRADER
Uagizaji magari kutoka Japan, Singapore, Dubai na UK
Est: 2021,
Magomeni usalama adjacent watumishi house
Scentscity store
Wauzaji wa manukato ya aina mbalimbali ya kwa ajili ya matumizi ya mwili, kutumia majumbani, spa , hotelini, restaurant , kwenye gari na sehemu mbalimbali
Est: 2020,
Michenzani mall
WEPACE AUTOMOTORS
wepace Automotors inajihusisha na kuagiza magari kutoka Japan,Singapore,UK,N.K kupitia website yetu www.wepaceautomotors.co.tz pia ni ma clearing&Forwading agents tuna clear mizigo aina yeyote tukoka banandari ya Dar
Est: 2014,
tabata,magengeni karibu na CRDB BANK
Bliga Courier Services
Tunafata mizigo popote na ku deliver popote kwa gharama nafuu sana.
Est: 2020,
Sinza
Hugo’s cornice molds making
Mimi ni ni fundi wa fiber glass natengeneza machine za kifyatulia mikanda ya gypsum,angel,maua na Amina Toyota ya mchoro
Est: 2019,
Kwa mwalimu Nyerere baba wa taifa
HALA International Agency Ltd
HALA International Agency Ltd is a growing commercial cleaning and fumigation services provider located DSM.
Our services
1. Commercial Cleaning services
2. Domestic Cleaning services
3. Retail Cleaning services
4. Fumigation and Pest control services
Est: 2019,
Bohari Street, near MSD
Elimu
Fursa za kufadhiliwa masomo kwa wenye vigezo kuanzia nursery mpaka vyuo vya Kati.
Est: 2011,
OFISI ZA TESA ILALA BUNGONI MTAA WA MANYEMA
Mesuma Hotels
Accommodation
Restaurant
Meeting Facilities
Free Wifi
Private Parking
Est: 2012,
Kijitonyama na Makumbusho
Mafuta ya alizeti
Nauza mafuta ya alizeti kutoka singida kwa bei ya jumla n rejareja
Est: 2021,
Magogoni
Luckystar_houseof qualities
tunauza nguo za kike jumla na rejareja kwa bei nafuu kabisa pia mikoani tunatuma kwa uaminif.. lakni hatujawasahau wateja wa dar tunafanya delivery kwa garama ndogo ..duka letu liko ubungoRiverside karibuni sana
Tupigie/WhatsApp 0659877741 or 0757858726
Est: 2021,
ubungo Riverside
Barikielly_afya
Ugcare stem cell therapy, ni teknologia ya hali ya juu inayotumika japan kuvuna cell shina za mimeaa tiba mbalimbali ambazo hutumia kutibu magonjwa mbalimbali kushirikiana na cell shina za mwili wa binadamu.
Karibuni sana kwa huduma nzuri.
Est: 2019,
Mpakan Centre
Haule furniture
Tunatengeneza Furniture za kisasa aina zote maoficen majumbani na nk.
Est: 2020,
Mabibo farasi
MGM BUILDING MATERIALS
Tunauza VIfaa vya ujenzi ikuwemo construction chemicals(waterproofing, sealants,admitures nk)
Est: 2021,
Makongo juu