📍

Mtaa · Dar es Salaam

Biashara za Mbezi juu

29 biashara
Nyumbani Biashara Mbezi juu
🔐 Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Mbezi juu 29 biashara
Canal Plus Decorder

Canal Plus ni kingamuzi kinachokuwezesha kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine mingi ya kimataifa kwa malipo nafuu ukilinganisha na visimbuzi vingine. Kwa tsh. 100k tu unapata decorder na kwa 130k unapata decorder na kifurushi cha mwezi (cha 45k)

Est. 2021 📍 Goba
Ryne handcrafts

magaliousyirene@gmail.com

Est. 2017 📍 0715677644
Lucie delicious cakes

Bakery

Est. 2020 📍 Salasala maduka mengi
Jay4

perfume za kupima na mayai ya kienyeji

Est. 2021 📍 Mbezi
Luxxury_scents

WAPENDWA Karibuni luxxury_scents kwa mahitaji ya parfumes for ladies& gentlemen perfume zetu ni High-Quality Long lasting OIL BASED PERFUMES that will absolutely meet your expectations zinanukia vizuri sana for 78hrs 50ml =35000 30ml =25000 15ml=15000

Est. 2021 📍 Goba center ,we deliver
Department

Used Electronics

Est. 2021 📍 Africana
macarena Bar & lounge

Vinywaji chakula na burudani. karibu macarena bar Lounge mbezi beach 76 ally sykes road kwa huduma Bora za vinywaji na chakula bila kusahau mziki mzri kutoka kwa ma dj premier

Est. 2020 📍 top garage
esterngowo_collection

Bidhaa mbali mbali za majumbani bidhaa za urembo na nguo za ndani

Est. 2019 📍 Mbezi beach shule
TIPPER TRUCK

augustinonmare@gmail.com

Est. 2020 📍 0718189396
ROYAL SECURITY SOLUTIONS

Kampuni inahusika na usambazaji na ufungaji wa mifumo ya ulinzi kama , cctv camera , electric fence , gate motor , intruder alarm fire alar n.k

Est. 2016 📍 Mbezi beach makonde
_ladies_point_

kuuza nguo za kike ( Offsholder tops and dresses)

Est. 2021 📍 Mbezi Goba
Viwanja Noble real estate

Tunauza viwanja , mashamba , nyumba na apartment

Est. 2018 📍 Noble real estate
Bazed Feeds

Bazed Feeds ni wauzaji na wasambazaji wa vyakula vya mifugo kama kuku,mbwa,ngombe Tunatoa huduma zifutazo, Pumba za mahindi jumla na rejareja, Paraza, Chokaa, Starter, Layers Mash, Growers, Finisher, Uduv, Soya, Mashudu, Dagaaa na vumbi la dagaaa, Power Dog , Chicken Feeders and Drikers

Est. 2020 📍 Jogoo Madukani
mremi furnitures

kutengeneza furniture/ kuuza /kurper nakudizain pia tunapokea order

Est. 2018 📍 kennedymremi24@gmail.com
JJ__WONDERS

Tunauza vitu vya aina zotee vinavohusu wanawake kama pochi, perfume,wallets,underwears, jewells na vingine vingi na kwa wanaume tuna perfume zote za kiume.

Est. 2020 📍 Mbezi mwisho
Ukumbi

Tunatoa huduma ya ukumbi wa kisasa kabisa uitwao BRIGHTSTONE HALL tunatoa huduma zote za chakula mapambo na vinywaji mawasiliano 0656349292 au 0679971920. Bei zetu poa kabisa karibuni sana tuwahudumie huduma zetu zipo poa kabisa mnakaribishwa sana

Est. 2019 📍 Mbezi beach Tangi bovu stend ya goba ya zamani
Peramiho Sausage by Anandi

Anandi ni wauzaji maarufu wa sausage tamu kutoka Peramiho Songea. Tunapatikana Dsm Mbezi beach tunauza jumla na rejareja kwa wateja wa Dar tunafanya delivery lakini mikoani pia tunatuma na hata nchi za nje tunakufikishia mzigo karibuni sana sana Anandi.

Est. 2015 📍 Mbezi juu na Tankibovu
Afya na urembo

Tunauza product za afya na urembo kwa wale wanaohitaji kupunguza uzito bila stress na diet hapa ndo mahali pake, product zetu zimepitishwa na TFDA hivo ziko salama kwa matumizi,kwa wenye presha,sukari,kukosa usingizi tuko hapa kukusaidia. Pia heshima ya n

Est. 2019 📍 Mydailychoice
Furniture mbezi beach

Jipatie milango imara mbao mninga mkongo , kitchen cabinets, dinning table,tv showcase, coffee table.nk.tupo mbezi beach kwa komba mkabala na radi service.0652467412/0788954057..

Est. 2004 📍 Kwa komba.
Wittylicious Fresh Products

kuuza samaki wa mwanza Jumla na rejareja

Est. 2020 📍 Goba Road
House and office painting and other decoration

Upakaji wa rangi nyumba na finishing za aina mbalimbali

Est. 2011 📍 goba
FEMICARE

FEMI CARE: Uhusisha Seli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiikolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegatable antioxidative element. Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja. INAHUSIKA: 1. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi. 2. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho 3. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywere hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija kama utumbo, Vidudu vinavyo sambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri 4. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi 5. Husaidia kuhuisha Seli. Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7. VIAMBATA: Feminine shafishio, ina aina tatu za viambata vikuu: Rejuvenating mineral elements kutoka kwenye vianzo vya asili

Est. 2010 📍 kwakrypton
weneat_clothing

Weneat_clothing wauzaji wa mashati makali ya mtumba grade1 high quality shirts for only 15k. Delivery inafanyika popote.

Est. 2020 📍 Goigi mbezi Beach
zulfat flowers

Ninahusika na kutengeneza fresh flowers kama vile gifts na parkege za aina zote kwa ubunifu wa Hali ya juu pia natengeneza mashada ya misiba ya flowers kwa bei poa kabisa pia napamba picha za wapendwa wetu wanaotangulia kutokana na size unayotaka ninatumia fresh flowers na natengeneza maua ya bibi h

Est. 2020 📍 namanga mbuyuni
JAYS LISHE

Ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wazee, wasio na hamu ya kula n.k, unga huu ni mchanganyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mchicha, karoti, mbegu za maboga, na ngano upo wa ladha mbili tofauti. ladha ya vanilla na ladha ya iriki. karibu

Est. 2019 📍 mbezi beach
Mbuzi

Nauza mbuzi wa kubwa kabisa kutoka singida, kuna mbuzi wa supu kuanzia 80000 na wa kuchoma kuanzia 100000 mpaka 130000, karibuni sana

Est. 2019 📍 Ndumbwi
Waasili asilia ltd

wazalishaji wa bidhaa bora zangozi kama vile viatu,mabegi,mikanda na Batiki

Est. 2016 📍 Tegeta salasala mabadnda mengi, uwanja wa magofuni
Brihannah mitumba collections

?kwa nguo nzur na kali za mitumba grade A tembelea page yetu @brihannahmitumbacollections @brihannahmitumbacollections @iam_brihannah @iam_brihannah tembelea page zetu ujipatie nguo kali?na unaweza kutucol kwa no:0784371974

Est. 2019 📍 Mbezi salasala
Sun

Karibu tukushonee upendeze pia tunadesign nguo mbalimbali za rika zote na jinsia zote karibu upendeze kwa gharama nafuu

Est. 2018 📍 Kinondoni mkwajuni ⭐ Verified

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote →