Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Kibamba
Mimi ni dalali wakupangisha Nyumba au kuuza nyumba au kuuza viwanja n.k
Uzalishaji wa Tofali Uuzaji Tofali na vifaa vyote vya ujenzi eg Cement, Mchanga, Kokoto nk
Nachukua kazi za madirisha ya chuma yaan grill mageti makubwa ya kwenye fensi na mageti madogo na milango ya grill kwa nyumba na flame za chuma za milango ndan au nje
Ninauza vipodozi vizur vya kungarisha ngozi nakukupa mwonekano wa kisasa
johnchristian416@gmail.com
Bar, Beer, Food, Lodge. Tunatoa huduma za vinywaji laini na vikali, chakula na huduma ya malazi, karibu upate huduma nzuri kutoka kwa wahudumu wetu wanaojali unachohitaji
MSHIKAMANO TUNATOA HUDUMA YA VIFARANGA NA KUTOTOLESHA MAYAI KWA BEI NAFUU KWA KILA MTU.
Asali Nta Chavua Gundi ya nyuki Sumu ya nyuki Uchavushaji wa mazao Ushuri na utaalamu kuhusu mradi wa nyuki.
JAZEERA PRODUCTS NI PRODUCTS NZURI KWA NGOZI YAKO??INATOA CHUNUSI,MADOA, INANG’ARISHA MWILI MZIMA? UNAPATA GLOW SKIN.?
utengenezaji wa pilipili
Bin Issa Food Products.. wauzaji wa jumla na reja reja kwa mahitaji ya Unga safi wa sembe, Dona, mahindi ya makande .. wasiliana nasi kwa simu no. 0714 333784
viwanja vinapatikana makazi mapya Kiluvya madukani umeme maji yapo kuanzia million 1.7 nk
Niuzaji wa madera ya aina yote. Tunauza manukato ya kinadada na wababa. Nanguo za watoto za mtumba grade1 zipo kwa bei nzur kabisaa karibuni sana
Kwa wale wahitaji wa viwanja katika mkoa wa pwani /kibaha wanaweza kuwasiliana nami kwa simu na 0767959556
Tunauza asali mbichi kutoka Tabora vijijini kwa bei nafuu sana Tunauza Jumla na rejareja Lita1=10000 Nusu=5000 Robo=2500
Tunatoa huduma ya kuuza na kununua Viwanja, Mashamba katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam Tupo: Kibamba Njia-Panda
Vitu vya watoto kuanzia 0_5 yrs
DEALS WITH: ELECTRICAL INSTALLATION /WIRING
Ni wauzaji wa nguo za jinsia zote za wakubwa na wadogo. Vipodozi Sabuni za maji za usafi mbalimbali
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →