AlM GLOBAL

2018
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: DAR ES SALAAM
🏢 Address: #477 mwaikibaki road, mikocheni Dar es salaam.

About This Business

Tumejikita katika kutoa elimu , ushauri na tiba kwa watu wenye changamoto.

Natures way ndo wanatuwezesha katika utengenezaji wa bidhaa zetu kuhusu afya, wanauzoefu zaidi ya miaka nchini marekani katika utengenezaji wa bidhaa ambazo ni virutubishe lishe( nutritiona supplements food) . natures way walianza kutengeneza hizi bidhaa kwaajili ya afya kitokana na utafiti wa shirika la afya WHO ambao wanadai binadamu ili awe na afya na kinga iliyo imara kwa kila siku inatakiwa ale mboga za majani 7 tofauti x2 , uyoga 7 na matunda 7 tofauti x2 .katika hali ya kawaida ni ngumu sana mtu kufikia hii level , ndipo NATURES WAY wakaamua kuja na hizi bidhaa ambazo zipo kwenye mfumo wa kidonge, yaani virutubisho vyote vimewekwa sehemu moja kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu sana. Na kazi ya hizi bidhaa ni kutibu , kuzuia na kukinga magonjwa mbalimbali ambayo yanasababishwa na life style.

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.