Dar es Salaam · Business Profile
Beauty care & health_fitness
Est. 2020
2020
Established
0
Products
Makumbusho Vitoria
Operating Zone
About This Business
deal with -uzito uliopitiliza -Mfumo wa uzazi -Vimbe kwenye kizazi -Bawasili -Nguvu za kiume -Mfumo mmenyenyo wa chakula
Tunahusika na utoaji na usambazaji wa bidhaa za afya na mwonekano. kwa changamoto mbalimbali za kiafya ushauri. Pia tunatoa program special kwa watu wanao itaji kupunguza uzito, kitambi na minyama uzembe. Napia kuwapa huduma watu wanao taka kuongeza uzito wao. Ikumbukwe kuwa bidhaa zetu ni virutubisho (food supplements) na siyo dawa
📍
Office Zone
Makumbusho Vitoria
Contact Information
Listed Products
0 products
🛍️
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.