Beacon Consults
tunachola ramani za nyumba nakujenga nyumba ya ndoto yako.
Build your dream home with beacon consults.
Est: 2018
Est: Beacon
TVS & BOXER ORIGINAL SPARE PARTS
wauzaji wa vipuri/spea original za pikipiki TVS na BOXER (BAJAJ)
Est: 2021
Est: Julius Nyerere International Airport
Equity Aviation
World-class aviation solutions, connect with us for seamless ground handling in Tanzania, airport meet and greet, airport fuel arrangements, Flight permits (overflight/landing), airport VIP lounge, airport catering, and Crew administration.
Est: 2000
Est: Airport, Terminal 1
Nashtyner classic
Nguo za kike na zakiume,viatu vya kike na vya kiume, pochi, mikoba.
Est: 2020
Est: Airport stand
Sabrapaperflowers
Sabrapaperflowers ni aina ya mapambo ya maua ambayo natengeneza kupitia karatas za manila.aina hii ya mapambo pia natengeneza kama mapambo ya kuninginiza ukutan yaan (wallhangingpaperflowers) ni nzuri sana na yanafaa sehemu zote majumban na maofisin...
Est: 2019
Est: Biashara yangu nafanyia nyumban (airport)
KEMPAX
Huduma ya manunuzi ya bidhaa yeyote jiji dar es salaam na mikoani
Est: 2020
Est: Uwanja wa ndege
TEMBO HOUSE FINISHING
Tufanya plasta,na urembo nyumba, pia tuna skimm na kupaka rangi
Est: 2020
Est: Kipawa
QueenBoss paper bags
vifungashio ambavyo vinakidhi kwa matumizi mbali mbali lakini zaid zaidi ni rafiki kwa mazingira.
Est: 2020
Est: kipawa