Biashara zilizo Ukonga
You need to login to be able to create your business profile.

Salma_homecleaning
Tunauza bidhaa za usafi na kilimo ambazo hazina chemical yoyote ile na ni rafiki wa mazingira. Bidhaa za usafi ambazo zinahumika kuondoa uchafu sugu na lain kwenye frig ndan|frypan|madirisha/sink/Tiles/ siti za gar | masofa| zulia.
Est: 2021 Est: Ukonga DAR-ES-SALAAM

Rico Group
mafuta ya alizeti, pilipili, peanut butter, nafaka
Est: 2021 Est: chanika

Zubu Decoration
Karibuni Zubu Decoration kwa huduma ya Mapambo na kukodisha vifaa vya Mapambo kwa Ghalama nafuu kabisa
Est: 2017 Est: Ukonga Mombasa Stend ya zaman ya mosh bar

Magodoro imara kwa Bei Nafuu
Karibuni mjipatie Magodoro imara Yenye warranty kwa bei punguzo na nafuu zaid. Usafiri ni ni juu yetu( FREE DELIVERY) .
Est: 2017 Est: Ilala

Muju Furniture
Tunatengeneza furniture za majumbani na maofisini
Est: 2020 Est: Mombasa

Furniture za Chuma
Vitanda,Dreesing table,viti,meza,makabati,Mageti,madirisha,Enga za mikoba na viatu nk
Est: 2018 Est: Majumba sita Stand ya Bus

Ujasiriamali
Ninafanya biashara ya kuuza vitenge. Rejareja na kukopesha vitenge
Est: 2015 Est: Ukonga mwembe madafu

IMANI PLUMBING WATER POINT
IMANI PLUMBING WATER POINT najihusisha na utengezaji wa ma Bomba majumbani viwandani kwenye Company n.k,karibu sana
Est: 2009 Est: UKONGA MOMBASA

Ufugaji !!!
Mafunzo ya ufugaji wa kisasa asa kuku wa aina zote pia tunauza vifaranga na incubator za kutotoleshea popote ulipo tunakuletea karibuni sana.
Est: 2015 Est: Banana