Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Kibada
mtengenezaji huko Guangzhou china, zingatia samani za kisasa na bora za ofisi, nyumba na hoteli yenye uzoefu wa miaka 20.
bidhaa za usafi na kilimo
gerldaniel43@gmail.com
uuzaji wa chakulaa aina ya chips
TUNADEAL NA PRODUCTS ZA NGOZI NA NYWELE IG @BABYFACE.COLLECTION
Tunauza vitu vya watoto kuanzia umri 0-18 kama vile diapers nguo za watoto wa kike na kiume,viatu,dolls,games vile vile tunajali na kuzingatia muonekano wa mama jipatie handbag,pafyum,wigs na accessoires zote za urembo. Tunafanya delivery Popote ..karibu
baboeddy123@gmail.com
Ninauza nguo za mtumba za jinsia ya kike, za kisasa, zenye ubora na kwa bei nafuu. Duka lipo Kigamboni- mnadani na linakua wazi kila siku za jumatatu bado jumamosi kuanzia saa 8:30 asubuhi mpaka saa19:00 usiku.
Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai
Ni.muuzaji na msambazaji wa vipodozi original kutoka uk pakistan na dubai
Tunasaidia watu wenye matatizo ya ngozi,uso,mwili mzima,tunafanya pia huduma za massage na body scrub ,waxing
arashidi353@gmail.com
Kwa cake tamu zenye mvuto karibuni
Tunauza madafu yenye ubora na matamu. Maji ya Madafu ni tiba na kinga kwa maradhi mengi tu katika mwili wako. Yanaongeza virutubisho muhimu mwilini na kusaidia kuufanya mwili wako hasa figo,moyo na ngozi yako kuwa imara.
tunauza mapambo ya magari ,music system ,alarm system , tinted ,seat cover aina zote ,betry za magari na full decoration
Nauza magari kutoka Japan, Singapore, Dubai n.k
Natengeneza furniture kwa bei nafuu zaidi zenye uimala usafili bure
sabedgs7@gmail.com
Utengenezaji wa milango na madirisha ya aluminum na uPVC, blicon kabati
#DAOMY #CLASSIC #CONSTRUCTION INAKULETEA TECHNOLOGY YA UTENGENEZAJI WA MASHIMO YACHOO YA KISASA YASIYO JAA 1:HAYAJAI MAJITAKA KWAMDA WAMATUMIZI 2 NIMFUMO UNAO FANYA KAZI SEHEMU#KAVU NAYENYE TATIZO LAMAJI MENGI#WATERTABLE 3 MFUMO UNACHUKUA ENEO DO
Sisi ni kampuni inayouza simu Mpya na Used ,laptops mpya na Used na pia tunafanya exchange au top-up za simu karibuni sana ??
Tunauza bidhaa mbali mbali kama elektroniki, mavazi, virutubishe tiba vinavotibu magonjwa yaliyoshindikana mahospitalini kama kisukari, shinikizo la damu, cancer, pressure, nk
Tunahusika na utowaji wa mizigo bandarini clearing and forwarding agents
Tunatoa huduma za uwekaji mifumo ya ulinzi Kama vile CCTV camera ,Electric fence,Gate motor,Electrical installation,Video intercom systems pamoja na Alarm systems (intruder na fire)
vyakula asilia
*XPRESS FIL* *Wekeza na EXPRESS fil* *ni kimbilio letu watanzania* *tsh 5000* *kiingilio* *kinachokuwezesha* *kupata mafunzo ya ujasirimali na biashara yanayofanyika kwa mtandao na ana kwa ana usajili utafanyika kwa njia ya mtandao.* ???????? *Ma
Tunauza Nguo, Viatu na vifaa mbalimbali vya watoto.
furniture,vyombo,electronic
uzaji wa viwanja, nyumba,mashamba,kupangisha nyumba.godown,na yard
Gold nauza mawe ya thamani kwa bei ya maelewano
Jipatie ubuyu mtamu kutoka zanzibar ubuyu wa babu issa nauza jumla na rejareja
Saloon nguo za ndan nguo
Upimaji wa Viwanja, kuuza Viwanja ,kununua nyumba na kuuza, kupangisha nyumba n.k
Wauzaji na wasambazaji wa vitakashio, kama sabuni za kufuria, chooni, jk, shampoo za nywele na sabuni za kusafishia mikono
Tuna tengeneza cartoon aina zote kwa bei poa na pia tunapiga picha kali za location kwa bei rahisi pia na kila kitu kinacho husu graphics kama mabango t-shirt , busses card na mengine mengi, karibuni sana.
Selling health products with Nutrients required with human body from Neolife
SALES BEAUTY DRESSINGS & COSMETICS
Katiba the great magypsum Gypsumceiling design
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →