Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Kigamboni
Biashara ya mikoba ,nguo na accessories zingine
Tunatoa huduma ya chakula kwenye shughuli mbalimbali mpaka watu 1000 kama harusi, misiba, send-off, kitchen party, seminar etc
KWA PICHA NA VIDEO BORA FANYA KAZI NASI. MUSSAPHOTO &VIDEOGRAPHY
KWA PICHA NA VIDEO BORA FANYA KAZI NASI. MUSSAPHOTO &VIDEOGRAPHY
ufundi
Wauzaji wa vitambaa vya aina zote na vifaa vya ushonaji pia tunauza mitandio, vilemba, mashuka, tunafunga sare za sherehe mbali mbali , vijora n.k
nauza dawa za usafi nyumban,ofisin na sehem mbalimbali
Mafundi Bora na wenyekujali mteja wetu. Nidhamu ? Uwaminifu na umakini wa gari yako mteja ? Delivery kwa dar haraka popote ulipo kwa mikoani nauli na maelewano Karibuni sana.
Ubora na usalama wa chombo chako Uwaminifu ? Delivery popote ndani ya dar mikoani nauli na maelewano Mafundi Bora wa gari na wanao jali mteja.
Beats production
stanleygodfrey44@gmail.com
Wauzaji Wa Nguo za Kike za Mtumba First Grade
Nachimba visima virefu na vifupi vya maji Safi na salama
Ni Dawa za Asili zenye uwezo wa kutibu maradhi ya kibinadamu
Kwa huduma za usafi ma ofisini, majumbani,halls, before and after party cleaning, fumigation Ekostar tupo kwa ajili yako, tunafanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu tupigie 0699377411 tunakufikia popote ndani ya, Dar es salaam.
Uuzaji wa Kiwanja/Viwanja,Nyumba,Beach plots,Pia tunapangisha nyumba nzima au vyumba kwa ujumla kwa maeneo ya kigamboni na viunga vyake _____________________________ kutana na dalali_king_kigamboni ______________________________ Mawasiliano:0734-003-525 :0627-617-691 :0693-886-781#Whatsup -Instagram: @dalali_kigamboni_01
Kwa handbags na viatu vizuri vya mtumba high quality (grade one(A))karibu sana wasiliana nami kwa namba 0718676962......au tembelea page yangu nyingine ya instagram kwa maelezo na picha zaidi @___alicia_trends
Karibu @orbit_studio_tz KIGAMBONI kwa mahitaji ya picha na video kwa ajili ya shughuli yeyote! @orbit_studio_tz
Tunakodisha muziki kwe sherehe mbali mbali na vyombo vya live band tunarekodi nyimbo.video shuting pia tunauza spea za magari aina tofauti scania land love range Rover toyota.nisan vyote ivyo ni kutoka UK
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH,,,,,* Natumai ni mzima wa afya Natangaza biashara yangu ya *YOGURT* *HAMIS YOGURT* ni product nzuri sana kwa binaadamu *YOGURT* ni product inayotokana na maziwa halisi ya ngombe. *FAIDA ZA YOGURT
WASAMBAZAJI WA NAFAKA PAMOJA NA MAZAO MBALIMBALI YA CHAKULA KAMA VILE MAFUTA YA ALIZETI, MAHARAGE, MCHELE N.K
nauza batiki na vitenge magauni yake
Tunauza magodor ya aina yoyte ile
tunauza batiki na vitenge original karibuni sana
Vitafunwa vya chai
PATA BIDHAA BORA NA IMARA ZA NAFAKA KWA BEI NZURI NA KWA WAKATI.
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →