Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Msasani
Tunatengeneza mafuta ya asili kutumia carrot na mengine kutumia mbegu za maboga, tunatengeneza pia sabuni za karafuu na zingine mbegu za maboga, vyote ni kwaajili ya kurutubisha na kulainisha ngozi ya uso na mwili. tunatengeneza mafuta ya nywele pia.
Tunaunza viwanja na mashamba
Wataalamu katika michoro na shughuli za sanaa.
Tunapika biriani & pilau kila ijumaa pia tunapikisha chakula kwenye udhulu mbalimbali kama maharusi,maulidi,misiba,Barth day,na kadhlika chakula ni kizuri na chakipekee kabisaa karibuni sana.
beauty and cosmetics
Platinum credit ltd, ni kampuni ya utoaji wa mikopo midogo midogo ya kifedha kuanzia Tsh milion moja (1m) mpaka milioni thelathini (30m). mikopo hii inatolewa kwa dhamana ya kadi ya gari. mikopo hii inaliba , interest ya 3.5% kwa mwezi.
Virutubisho lishe -kupunguza uzito -kupunguza kitambi -kutibu vidonda vya Tumbo -kutibu pressure na kisukari -kusaidia kuponesha magonjwa mbalimbali na changoto mbalimbali za kiafya
Mint & basil niviungo vizuri ambavyo unaweza kutumia kwenye chai na cocktail pia haya kwenye nyama bia husaidia sana mwilini
UREMBO MALI GHAFLI MBALI MBALI
Kitchen Slayers tunatoa huduma ya chakula tunapatikana Masaki barabara ya Haile Selassie pembeni ya George & Dragon ndani ya Grandbazaar kiosi ya kijani
Biashara ya kuuza kahawa, pia bidhaa za kinga ya mwili kama shake off(kusafisha utumbo ulo chafuliwa na vyakulwa) mrt (kupunguza uzito) cafe 73 (kwa kupunguza sukari mwilin
Habari,karibuni sana wateja tunajiusisha na uuzaji wa kuku,vifaranga va chotara na hata broiler pia tuna jenga mabanda ya kisasa ambayo unaweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo karibuni sana.
DUKA LETU NI ONLINE TU Tunauza bidhaa mbalimbali Kuanzia mavazi Bora ya kike, kiume, watoto, viatu aina zote, mashuka, mapazia, neti za mbu, vifaa vya michezo na mazoezi, vipodozi, vyombo vyote vya ndani, mashine za aina mbalimbali kama vile popcorn n.k.
NAMNA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KUANZIA KILO 10 HADI 16 NDANI YA SIKU 30.
Home Appliances / Kitchen Equipment
Nguo za kulalia za wanawake kwa jumla na rejareja
Mnada wa magari
Welcome to princebooshop were located at dar free market shop no f 39 were selling all tips of books kids books business books novels cookery books inspiration books history books kids all ages from 0+ and many more we also deliveries thanks na karibu
Watendenezaji wa Cake kwa matukio tafrija na kumbukumbu mbalimbali nzuri tamu kubwa na zenye ubora kwa bei nafuu. tunasafirisha cake kote dar kwa gharama ndogo ya usafiri utakayolipia mteja wetu bila kuumi. karibu tukuhudumie. 0622317358
It is a private apartment with yr own entrance to three bedroom apartment, which is ground floor of kitchen, dinning, laundry, living room and guest toilet. The bedrooms are on the first floor. Then there the balcony at the top floor for extra outside seating, excellent seaview, meat braai, and hanging your washed linen. There is a spare generator and vehicle parking for two. 24hrs security, free water usage.
vyakula kama kuku wa kisasa kuku wa kienyeji,mchele,mafuta ya alizeti
Tunatengeneza mauwa fresh yani Natural.pia tunapokea order nakufanya Delivery isntagram page yetu tu follow Jpm_flowers HUDUMA ZETU 1.Mauwa ya Maharusi/Meds 2.Mauwa ya Birthday kwa Girlfriend Boyfriend. Mama Baba .mtoto Ndugu au Rafiki kupamba magari napicha
Karibu ujipatie All brands of original perfumes with affordable price Bei zetu ni nafuu inapata kilicho bora Mikoani kote tunatuma...
Handbags original from Thailand and chambool grade 1
Dealing with famous brand
bidhaa mzuri ukitumia hutojuta Enjoy nasi pamoja
Tunatoa huduma ya kupunguza uzito, kitambi na nyama uzembe pia tunatibu maradhi yote.
Event Planner and Flower Arrangements.
Tuna dili nautengenezaji Wa furniture zote za ndan pia kurekebisha furniture zote kam sofa set,bed sofa,armchair,tvshowcase,kitchen cabinet,dressing table nk karibuni saaana
Bidhaa zinazopatikana ni za lkike kama vile, Mapochi =, Viatu =a pamoja nq Vitenge.
Gigspace is a Freelance marketplace where individuals with different talent and skills in the business industry could display their skills and creativity .
A Tanzanian freelance platform connecting businesses to skilled independent contractors online .
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →