Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Kinondoni
KARIBUNI KWA MAHITAJI YA KUUZA NA KUNUNUA MAGARI MAPYA TOKA JAPAN,SINGAPORE,UK & SOUTH AFRICA NA USED HAPA TANZANIA TUWASILIANE KUPITIA CALL ,TEXT & WHATSAPP nō 0658574303 instagram MZARAMO_MOTTORS
ESSENTIAL OILS
Nauza nguo za kike ambazo ni muundo wa kisasa Yaani new style kwa bei nafuu zaidi
ALICE LIQUID SOAP – Sabuni za Usafi ambazo unaweza kusafisha tiles/sinks, kudekia, kuoshea vyombo, kufulia pamoja na kunawia. Ni nzuri sana kwa matumizi ya Nyumbani, Ofisini, Hoteli, Lodges & Bars, Hospital, Mtu Binafi na Makampuni/Taasisi.
ALICE LIQUID SOAP – Sabuni za Usafi ambazo unaweza kusafisha tiles/sinks, kudekia, kuoshea vyombo, kufulia pamoja na kunawia. Ni nzuri sana kwa matumizi ya Nyumbani, Ofisini, Hoteli, Lodges & Bars, Hospital, Mtu Binafi na Makampuni/Taasisi.
Tunasaidia wanafunzi kusoma nje ya nchi
Vifaa vya mazoezi, mikanda ya tumbo… Sculpt Army is a Tanzanian fitness brand based in Tanzania and Germany. Our company deals in fitness accessories and workout gears for at home & outdoors workouts as well as in gym fitness.
Real estate
Nauza mafuta ya nywele, ni mafuta ambayo natengeneza mwenyewe ni mzuri sana kwa kukuza na kujaza nywele na kuzifanya ziwe na afya, wanatumia watu wa rika zote ,watoto na watu wazima.
KUBUNI NA KUSHONA NGUO ZA JINSIA ZOTE.
Tunatengeneza na kusuka (dread locks, braid vitunguu nk) nywele aina zote popote ulipo dar office zetu zipo kinondoni mkwajuni wasisi wetu wanaweza kukufuata ulipo mteja
mofuludaniel5@gmail.com
Designer
perfumes
A clothing line based in selling grade A second hand clothes
Selling mobile phone. Retail and wholesale
Kata bima ya mali zako kupitia sejinsurance brokers ltd 0679323658
We rent cars in dar es salaam at affordable charges
SPARE PARTS
Uuzaji wa kuku wa kienyeji Free delivery kwa mwanyamala na maeneo ya jirani Pia kariakoo huduma ya delivery inapatkana Faida ya ziada 1/kuchinjiwa na kuandaliwa bila ongezeko la bei 2/jumla na rejareja 24/7
Bei ni sawa na bure, kwa bidhaa zetu Bora kabisa. Unafikishiwa mzigo mpaka mlangoni.
Pata ushauri wa afya na vipimo vya mwili kwa uangalizi wa wataalamu wetu na kupewa virutubisho sahihi kwa ajili ya afya yako na uhai wako
Tunafanya makeup aina zote Hairstyle Tunafunga malemba
Karibu toy_tz kwa midoli mizuri na bei nafuu
Ni wauzaji wa vyombo vya majumbani vizuri vya jumla na rejareja,bei zetu ni nzuri sana na huduma zetu ziko vizuri katika uaminifu wa hali ya juu,tunatimiza mahitaji kulingana na mteja anavyopendelea! Tunapatikana Kinondoni Biafra mkabala na Babu Ally
Tunauza na kutoa mkopo wa viwanja na mashamba kwa malipo ya kidogo kidogo Ndani ya miezi 18
Muuzaji wa simu na laptop
tunauza nguo za kike kwa bei rahis kabisa kwa size zote na lika zote
biashara inahusika na urembo wa nywele uso pia tunapamba maharusi pamoja na kuuza bidhaa za kina dada mfano pochi za mtumba wallet marashi
Kufundisha au kuhusiana maswala ya ndoa
Vipodozi Asilia.
Bidhaa zote ni mpya kutoka nje
Ni wauzaji wa vyombo vya nyumbani, Mtumba na vipya imara kabisa.
Wauzaji na wasambazaji wa vipodozi aina zote
Uuzaji na upangishaji wa nyumba na viwanja
Best kids store.. tunadili na nguo za watoto
Phone & accessories ,shoes ,watches etc
Natibu magonjwa yote sugu kwa kutumia virutubisho lishe kutoka marekani vilivotengenezwa kwa mfumo wa dawa
Electronics: TV, FRIDGES, MICROWAVE, WASHING MACHINE AND BRANDER
RETECK STORE NI KAMPUNI INAYO JIHUSISHA NA KUUZA COMPUTER ZA APPLE MPYA NA USED PAMOJA NA SIMU KAMA IPHONE ORIGINAL SAMSUNG NA NOKIA
Outfit Style
Tunauza saa na miwani kwa jumla na reja reja
Tunatoa huduma zote za makeup, Wedding Sendoff Kitchnparty Bridal shwr Baby shwr Photoshoot Simple makeup.. Tunatoa huduma ya nywele na pia huduma ya kucha,..Karibuni sana tunapatikana sinza makaburini..
Nauza duka la vipodozi mbali mbali,perfumu, weaving za kusukia
Trustable products
Setflix is an online streaming platform, where by people register to watch unlimited movies and TV shows worldwide
TUNASHONA NGUO AINA ZOTE | SUITS | WEDDING & SEND-OFF DRESS | CASUAL OUTFITS | CORPORATE UNIFORMS |
Deaalers in Food processing, Distribution,Wholesale and retail. Product and services
sofa + meza + TV cabinet ( Tshs..1,300,000/=)
Magodoro na vitanda vya chuma pamoja na mbao
Duka la Nguo za kike na kiume. Nguo zinatoka Marekani, Turkey na South Africa
tunauza vitanda vya chuma pamoja na furniture zingine za chuma
KARIBU tuipendezeshe nyumba YAKO kwa kukutengenezea na kununua ambazo zipo tayari Furniture
MUUZAJI WA MAGARI USED KWA BEI NAFUU.
Online Shop for Home appliances & Electronics like Tvs, Home theatres, Fridges, Gas Cookers, Microwaves etc.
Tunatengeneza fenicha imara za chuma
I provide solutions for healthy( diabetes, pressure,U.T.I, hormonal Im balance, ulcers etc) and agriculture challenges. And also cleaning solutions
We deal with sales and marketing and distribution
BOD is the number one African electronic trading company. It deals with selling of original devices such as phones laptops camera accessories PS etc
Ratchet ICT Solutions deals with i.e Networking, Database, CCTV, Alarm System, Intercom, Electric Fence, GPS Systems, Time and Attendance/Biometric Fingerprints and ICT Consultant Services.
Jipatie vipodozi vilivyotengenezwa Sweden kwa kutumia vitu asili kama vile matunda mimea miti n.k Havichubui vinaipa ngozi yako ungavu.
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →