Moyes_classic
Moyes Classic chini ya Moyes Enterprise inakuletea KOROSHO zilizoandaliwa kwa ubora wa kimataifa (international standard). Korosho zetu katika uzito mbalimbali kuanzia robo kg (250g), nusu kg (500g),kilo 1 (1kg) na pia unaweza kupata Mzigo mkubwa zaidi.
Est: 2021
Est: Biafra (barabara kuelekea MWANANYAMALA ikitokea mataa (biafra traffic lights )-Dunga street Karibu na Msikiti wa Jamia
Unique online business
Tunaagiza na kuuza bidhaa mbalimbali kutoka China, uturuki na Dubai,kuja Tanzania kwa bei pendwa kabisa karibu upate vitu vizuri ndugu mteja wetu????????????
Est: 2020
Est: Komakoma mwananyamala
Joseph magodoro na vitanda
Nauza magodoro na vitanda vya chuma mbao pamoja na vya sofa.
Magodoro Aina zote
Est: 2019
Est: Joseph magodoro
JIKO RAFIKI
Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao hata mabunzi pia...halitoi moshi kama majiko mengine kwani limetengenezwa kwa kuzingatia kanuni za afya...linapatikana kwa Tsh 50000/=tu
Est: 2016
Est: msisiri
Kinga mwili
Faida za kutumiya femicare Kwa wale wanao sumbuliwa na U. T. I sugu miwasho kutokwa na uchafu sehemu za sili halufu mbaya au kutokwa na maji maji ukeni kusikiya mau mivu wa Kati wa tendo landoa au wa Kati wa hedhi
Est: 2016
Est: Mwana nyamala Kwa kopa
mayra collection
Waagizishaji wa jumla/rejareja wa vipodozi,nguo za watoto,nguo za kike na kiume,handbags nk
Est: 2020
Est: Mwananyamala
Furnitures
Nichos furnitures ni watengeneza wa furniture mbali mbali za majumbani,saloon na nk.
Est: 2019
Est: Mwananyamala A
Longrich bamboo soap
Ni sabuni nzuri kwa ajili ya kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri.. inatibu miwasho, chunusi,mabaka, pumu ya ngozi, harufu mbaya ya mwili aliyeungua na cream inarudsha muonekano wenye kuvutia.ni sabuni iliyotengenezwa na mimea asilia
Est: 2019
Est: Mwananyamala shule
Liver_collectionss
Karibuni liver_collections mpendeze...chochote agiza utapata
Est: 2020
Est: Mwananyamala, kituo cha daladala msaada gereji
greenlesskimaro furniture
tunauza nakutengeneza furniture za ainazote kwabei nzuri sana wote mnakaribisha mjipatie tunakufikia kokote ulipo kwa gharama nafuuu
Est: 2019
Est: kimarogreenless@gmail.com
ELECTRO_PLUG LIMITED
Uuzaji wa bidhaa mbalimbali kam vile
vifaa vya photograph na videograph kwa jumla.
-tunakusaidia mwenye camera yako kukuuzia kwa muda mfupi sana.
-home appliances/vifaa vya majumbani
-used cars aina zote pamoja na uagizaji wa magari nje ya nchi
-wasiliana NASI kwa namba 0764671038 au 0676288683
IG#ELECTROPLUGLIMITED
FB page ELECTRO_PLUG LIMITED
karibuni sana.
Est: 2015
Est: Biashara complex
Chitattoo
Nachora tattoo kwa machine
Nip dar es salaam
Ni permanent tattoo
0676572367
Est: 2018
Est: Kwakopa
MANGINTOSH INC
we sale laptops, best new and refurbished laptops at affordable prices.
Est: 2018
Est: mwananyamala A
health_weightconsultanttz
Health and beauty awareness
#am strong#am health#am looking good#handsome/beautiful#
Est: 2007
Est: Victoria
classiclocker
Niwauzaj wa nguo za mtumba gradeone kutoka uk $u s a nguo za aina zote zinapatikana makot cadet jeans surual za vitambaa tishirt mashat nguo za harusi nguo za usiku nguo za watoto viatu vya wakubwa na watoto vyote vinapatikana
Est: 2020
Est: Mwananyamala A
Coconut Furniture Mart
Tunatengeneza furniture za mbao aina zote
kwa gharama naafu zaidi njoo kwetu upate unachokipenda,
Est: 2016
Est: Tupo Kinondoni mkwajuni karibu kabisa na Mwongozo Primary Shool
Valor Africa Limited Co.
We sell shoes, jewelry and accessories, perfumes and watches in retail and wholesale. We are at Mwananyamala kwa kopa. Karibuni sana
Est: 2018
Est: Mwananyamala kwa kopa
Switch Technology Solution
Switch technology deals with:
1. Website design
2. Graphics design
3. Phography & Videography
4. Documentary & video production
Est: 2019
Est: Makumbusho