Betranson Cleaning Company Ltd
Tunatoa huduma za usafi majumbani, maofisini, Ukumbi, Usafi baada ya sherehe au Harusi (After party), Usafi baada ya ujenzi (Post Construction Cleaning), Fumigation na Gardening, wauzaji na watengenezaji wa Sabuni za maji zenye ubora wa uhakika. Karibuni
Est. 2021
📍 Salma Kikwete Secondary school