📍

Mtaa · Dar es Salaam

Biashara za Tandika

25 biashara
Nyumbani Biashara Tandika
🔐 Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Tandika 25 biashara
Nafaka Safi Enterprises

daudshija53@gmail.com

Est. 2021 📍 0768833042
mavazi

Nguo pamoja na zinginezo

Est. 2021 📍 tandika
Women & men outfit

Njooo tukuveshe upendeze na ukae kijanja zaidi Tupo tandika Devis corner 0699860280

Est. 2019 📍 Tandika,Devis Conner
Turkish collection

Tunauza bidhaa kutoka uturuki na tunaagizishia bidhaa kutoka uturuki kwa Bei ya kiwandani na kwa uwaminifu wa Hali ya juu

Est. 2017 📍 Bidhaa za uturuki
Twens treder collection

kuchukua bidhaa mabalimbali

Est. 2021 📍 chanika
Steve outfits

nguo za kike na zakiume na n.k

Est. 2021 📍 Tandika sokoni
Zahra shop

Vyote vinapatikana na best quality na ubora wa juu

Est. 2020 📍 Leo street
Sejusta_mitumba

Nguo za kike za mitumba

Est. 2021 📍 0782328092
Amcakes

Cake zenye utamu na ladha ya kipekee ?taste IT love IT All Occasions wedding, birthday, graduations bites kwenye maharusini,maulid,kitchen party, sadaka mbalimbali Cake za vipande, sambusa,kachori na bites aina zote ...visheti pendwa laini sana...

Est. 2019 📍 Tandika magorofani/foma
ubuyu wa maembe

ubuyu wamaembe kg1 15000, nusu 8000, unaletewa popote ulipo kwa gharama zako karibuni sana

Est. 2020 📍 temeke
woyowoyo_cake

Tunapika keki nzuri zenye ubora na kupamba. Keki za sherehe zote kama vile Harusi, Sendoff, kitchen party, Birthday party, communial, Ubatizo, Kipaimara, baby shower na nyingine nyingi. karibu tukuhudumie

Est. 2020 📍 keko
Clever baking powder 100gx72pcd

kuokea cake mandazi dounut n.k

Est. 2020 📍 wailes
MR UCHEBE

Tunauza magari, magodoro

Est. 2019 📍 smartboy.sb468@gmail.com
safaya ufuta

ufuta

Est. 2020 📍 kichangani
warsama store

Nafaka(grains)

Est. 2020 📍 double coubin
Nassor sheikh

Mazulia original na yaki sasa kutoka turkey ?? Kwa dar tunafanya delivery ?

Est. 2019 📍 Kona ya madafu
Furniture za chuma

Mageti, vitanda,madirisha sofa, nk

Est. 2011 📍 keko funicture
precious stores

nguo, pafyum na mikoba

Est. 2020 📍 msikiti wa chihota, tandika sokoni
afya palace

kuuza virutubisho mbalimbali vya kupunguza uzito, kutoa tatizo la nguvu za kiume na MANYAMA uzembe

Est. 2020 📍 afya palace
Begum clothing

Biashara yangu inajihusisha na uuzaji wa mitandio ya quality nzuri na nguo ..sambamba na manukato ya mwili na vipochi vizuri

Est. 2019 📍 Begum clothing
flovie Online Store

TUNAUZA: NGUO ZA KIKE&KIUME NA ZA WATT VIA2 VYA KIKE&KIUME MAPOCHI&MABEGI MIKANDA(BELTS) ZA KIKE&KIUME MAPAMBO(Heren,saa,mikufu,pete&bracelets) VITENGE (AFRICAN PRINT) MASHUKA&DUVETI MAPAZIA NET UAMINIFU 100% PLACE ORDERS -PAY-RECEIVE. Delivery DAR, mikoani na NCHI JRANI(KENYA,MALAWI,ZAMBIA,ZIMBABW,UGANDA NA CONGO

Est. 2020 📍 Online shopping
VITAMBAA_QUALITY_ONLINE

KWA LACES NZURI KAMA (Cotton, Guipure, French, Sequin, Velvet, Sugar laces) ambazo unaweza kuvaa nyumbani, ofisini na shughulin UKITAKA KUPENDEZA NUNUA VITAMBAA UNDER THIS PAGEEE @vitambaa_quality_online

Est. 2020 📍 Temeke tandika
Mashuka ya Kisasa

mashuka mapazia mito foronya

Est. 2020 📍 tandika plaza
Zuhura Venus Z Elegancy

We sell bar soaps, liquid soaps, pads,

Est. 2015 📍 Temeke
Stararoom

Tunauza mitandio, abaya,gauni,skirt, pallazo na hijab accessories

Est. 2019 📍 Tandika gorofani

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote →