Biashara zilizo Chamazi
You need to login to be able to create your business profile.

MIKANDA YA GYPSUM/ GYPSUM BELT
Mikanda ya gypsum ya aina mbali mbali Kama vile cabech, plain, nyoka nyoka n.k, kwa bei ya jumla ni 1300/= kwa Kila pc, karibu tufanye biashara
Est: 2021 Est: Mbande- kisewe

Dar tour
We are the Guides who will take you anywhere in Tanzania. We are very professionals. Waongozaji watalii, tutakufikisha popote Tanzania bila shaka ya aina yoyote ile.
Est: 2017 Est: Dar tour

Tamir products
Tunauza pilipili nzuri yenye utamu na iliyo na mchanganyiko wa virutubisho.
Est: 2021 Est: Mbande

Ushonaji nguo
Nina shona nguo za jinsia zote na rika zote, Unachagua mshono wako kulingana na kitambaa chako. Ninakushonea kwa bei nzuri kabisa
Est: 2020 Est: Nyumba Nyeupe

chid decoration desgner
chiddabest39@gmail.com
Est: 2019 Est: chiddabest39@gmail.com

Bes Art Solutions
Kampuni imesajiliwa na inajihusisha na Uchoraji wa picha mbalimbali za mapambo ya nyumbani ,ofisini, nk Pia tunachora picha kwenye kuta za mashule, hospitalini, nyumbani, ofisini, nk
Est: 2020 Est: Mbande

NYUMBA (Boma)
KUUZA NYUMBA , VIWANJA , NA FANICHA(FURNITURE)
Est: 2018 Est: SAKU ILULU

DALALI HAKWEYA
Dalali wa nyumba
Est: 2020 Est: chamazi

Mama bora lishe
Mama bora lishe ndiyo kiboko ya watoto wasiopenda kula wala kunywa uji na kutokuongezeka uzito matokeo ni ndani ya week mbili tu unanipa mrejesho. ukishaupokea unga njoo unidai darasa la vyakula vya watoto bure
Est: 2020 Est: Chamazi