Biashara zilizo Temeke
You need to login to be able to create your business profile.

abūzayd enterprises
Wauzaji wa jumla na rejareja wa dagaa nyama pamoja na bidhaa nyingine za chakula.
Est: 2021 Est: abūzayd enterprises (wajasi)

Mona_fashiontz
Mona_fashiontz ni wauzaji wa nguo, viatu, saa, hereni na mikoba ya wadada, inayoenda na wakati.
Est: 2019 Est: Wailes

GRAPHICS DESIGNER
printing soln.......all about artwork T SHIRT FLYERS CANVAS JEASY PRINTING MUG ,BOTTLES ITS ALL ABOUT PRINTING AND PROMOTION TENGENEZA BRAND YAKO
Est: 2020 Est: mastikaa

Lulu Business
Nauza bidhaa mbali mbali kama vile Mikoba ya ngozi, saa zenye decor, saa za mkononi.....
Est: 2021 Est: Fremu za shule ya msingi TANDIKA zinapoingilia daladala za kutoka Gerezani na Stesheni

S&O Viungo
Iliki Mdalasini Pilipilimanga Karafuu Tangawizi.
Est: 2020 Est: Temeke

Gtwin collection
Wauzaji wa bidhaa tofauti tofauti pamoja na mavazi kama vile turbans,skirt,handbags,bedsheet n.k
Est: 2019 Est: Tandika

royal-kitchenware-collection
vyombo vya jikoni na Mashine za kurahisisha kazi za jikoni.
Est: 2021 Est: Temeke stereo stand ya bajaji za yombo kilakala

Vifaa vya mazoez tiba
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Est: 2020 Est: Mwembe yanga temeke

Vifaa vya mazoez tiba
Vifaa vya mazoez tiba ya mgongo,uti wa mgongo,shingo na magoti
Est: 2020 Est: Mwembe yanga temeke

Updateshowroom
Tunajihusisha na uagizaji wa bidhaa kutoka china , electronic accessories, car accessories.na tunafanya shipment kwa siku 15-20 nakujipatia mzigo , malipo ni utalipia pesa ya awali (advance) alafu utamalizia utakapo patiwa mzigo.
Est: 2020 Est: Online business

Creams&pastries
Tunauza cup cake Tunaaina tatu za package 1)cup cake pc 10 @4000 2)min cup cake pc6@2500 3)plastic bag (mfuko)pc10@4000
Est: 2021 Est: Temeke yombo str

New Machozi Troupe
newmachozitroupe@gmail.com
Est: 2020 Est: 0758453195

Vifaa vya michezo
Nipo na vifaa vya aina zote za michezo nipo na jezi aina zote unazotaka viatu v6a aina zote na mengineyo
Est: 2020 Est: Temeke sudan

H$N creative
design logo,mabango ya 3d and 2d,decoration for wood (MDF board) cuting acleric for CNS machine and cuting vinal stiker for ploter, T-shirt printing, and branding car .
Est: 2020 Est: azizi ally

Magari aina zote
Tunauza ,Tunaagiza magari kutoka nje, Tunakutafutia Mteja wa gari unayouza.
Est: 2005 Est: Debora Magari

MUKI ALUMINUM NA GLASS
Naitwa Shabani ni fundi najishugulisha na kutengeneza Madirisha ya Aluminum milango kabati pation tunafanya kazi ndani na nje ya Dar kazi zetu mzuri uhakika na halaka hazina usumbufu Aina yoyote tunawajali sana wateja wetu kalibunisana Office zetu Buza 5
Est: 2020 Est: Buza namba 5

Mages Batiki Fashion
Handmade batiki kwa ajili ya kushona nguo ya mshono wowote. Batiki hizi ni pure cotton 100% Nzuri na hazichuji.. Zinapatikana kwa jumla na rejareja..
Est: 2020 Est: magekawamk@gmail.com

WAUZAJI WA PIKIPIKI USED NA BAJAJI
PIKIPIKI NA BAJAJI USED
Est: 2015 Est: KEKO DDC MONALISA

MABATI QUALITY
TUNAUZA MABATI IMARA YA RANGI AINA ZOTE,MIGONGO MIPANA,MIDOGO,AINA YA VIGAE GAUGE 28,30
Est: 2020 Est: veta

Travel & Transportation
Trucks seller & Transportation
Est: 2020 Est: Peter Daimon

neoma craft
Neoma craft ni watengenezaji wa picha za sanaaa zinazotumika kwa ajili ya zawadi za matukio mbalimbali ya maisha Kama harusi,birthday, graduation n.k pia kupendezesha nyumba,ofisi na kadhalika
Est: 2019 Est: Temeke

SAMEER MAGARI MAZURI
MAGARI....NYUMBA...
Est: 2020 Est: FIRE

MyBusiness Web Application
Mfumo utakao kusudaia kurahisi majukumu ya Biashara yako na kutunza kumbukumbu, kukupa taarifa ya siku mwezi na mwaka
Est: 2019 Est: CoICT Bamaga

Weghtloss_C9
Ni program ya siku 9 ambayo itakusaidia kuondoa sumu ndani ya mwili na kupelekea kupungua uzito ndani ya siku nne hadi tisa. Ambayo itakuwa safari ya kuanza program ya F15 ambayo ya siku kumi na tano ambayo utapungua kilo 15 hadi 20.
Est: 2008 Est: victoria, TAN HOUSE

mama_abou2204
Ninadeal na nguo za mitumba za watoto kuanzia 0month mpaka 12years
Est: 2020 Est: mama_abou2204

Ujenzi Zone Aluminium
natengeneza dirisha milango pamoja na kuuza vioo na aluminum
Est: 2020 Est: temeke pile

Sonholisticpoint
Nawasaidia wanawake wenye matatizo ya viungo pamoja na misuli kutatua matatizo yao bila ya kwenda hospital kupitia Tiba ya Hijama/ Cupping therapy.
Est: 2017 Est: Temeke Usalama

MKAA BORA
Tunauza mkaa Bora zaidii ambao hutunza mazingira, huwaka Sana na kwa mda mrefu zaidi na Ni gharama nafuu sana ukilinganisha na mkaa wa kawaida. Tupigie kwa namba hizo kwenye bio tukufikishie uli
Est: 2019 Est: TEMEKE

Orbit Insurance Agents
We offer insurance services
Est: 2018 Est: Temeke Sokota