Biashara zilizo Msigani
You need to login to be able to create your business profile.

Nguo za watoto
Pata nguo za watoto grade a kwa wauzaji wa rejareja nafungua balo
Est: 2020 Est: Mbezi stand

uwanja na nyumba
ni uwanja uliomo nyumba wenye urefu na upana 17/11 , kutoka lami adi apo ni km1 uwanja nitambarare na upo sehen nzuri
Est: 2021 Est: kanisani maramba

naomi juice and bites
Bites aina zote, juice fresh za matunda, chips, nyama choma,kuku choma, ndizi choma na za kukaanga, ugali, wali, maziwa fresh na mtindi
Est: 2021 Est: round about ya kwenda kinyerezi au malamba mawili

Nyambe outfit
Nauza nguo za kike na za kiume
Est: 2017 Est: Mbezi

Fundi rangi wa nyumba
Fundi rangi wa nyumba napatikana mbezi ya kimara lnstgram napatikana reymond fundi rangi wa nyumba 1 au nicheki kwa namba 0765910241
Est: 2020 Est: Mbezi kimara

FJH welding
tunatengeza fanicha aina zote na ninauzoefu wa kotosha wa kutengeneza Mageti ya aina zote karibuni wateja
Est: 2020 Est: Msingwa shule