Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Manzese
Sadamu installation Wauzaji na wafungaji wa madish aina yote kwa vifaa maarumu kwa ufungaji Pia tunarekebisha madish aina yote yanayosumbua kwa mvua au upepo kama vile AZAM TV DSTV STARTIMES ZUKU CANAL SPORT CONTINNETAL n.k Call:0656190878
tunapokea wanafunzi wa aina yote, karibuni hostel ipo manzese
dastandua@gmail.com
Duka langu linaitwa starboy fashion lipo maeneo ya manzese darahani jijini far es salaam
biashara yangu inajihusisha na uuzaji Wa mitumba
Ojanto_Ocl tuna tengeneza na kusambaza viungo vya chakula kama, Pilau masala,Tea masala,Tangawizi,Iliki, Mdalasini na Pilipilimanga. Pia tunatoa huduma za usafi wa mazingira kama vile Nyumbampya,Maofisini,Godauni, Mashuleni na ungarishaj wa sink za choo
Tunauza bidhaa za kike viatu, mitandio, Abaya na handbag
Karibu ujapitie bidhaa kama vile Tv , aina zote ,subwoofer aina zote dressing table Rice cooker mafeni ,etc
HAPA NI UBORA TU.Hebu jitahidi upate hata ushauri ili ununue kitu Cha kudumu Nina uzoefu was zaidi ya miaka 13 Nina uhakika ukinitafta nitazngatia UBORA nawewe utafurahia bidhaa zangu na mungu akujalie kipato uje tena,Ahsanten.
Tunauza mchele mzuri grade one na two
tunadili na mitupio, vikoi og, scarf, na mitandio ya kila aina, kwa jumla na rejareja. karibuni sana
-Watengenezaji na wauzaji mashine kutotolesha vifaranga -Huduma ya service kwa incubators mbovu -Watengenezaji wa cages Za kulelea vifaranga -Wauzaji vifaranga vya kroiler
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →