Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Mabibo

46 biashara
Nyumbani / Biashara / Mabibo
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Mabibo 46 biashara
Bennie_Electronics

Selling Electronic Devices

Est. 2017 Mabibo Hostel
AWESOMETZ ( AWESOME TANZANIA)

ni jukwaa la madhumuni mengi na maarufu ambalo huleta habari zote zinazohusiana na Habari, Makala, Michezo, elimu, Burudani pamoja na fursa mbalimbali duniani kote. news, education. sports

Est. 2019 mabibo
dawa za wadudu

dawa za wadudu

Est. 2021 kigogo luhanga
dawa za wadudu

dawa za wadudu

Est. 2020 kigogo
Princess_dread_locks

lightnesskavishe03@gmail.com

Est. 2021 lightnesskavishe03@gmail.com
MJ-plus

marojems388@gmail.com

Est. 2021 marojems388@gmail.com
Essence Driving Schools

Tunatoa huduma za udereva wa Magari, pikipiki na Bajaj kila siku kuanzia saa 12:30 asubuhi mpaka 12:00 jioni. Wewe ndo unachagua mda rafiki kwako katika siku

Est. 2019 National Institute of Transport
rahma products

bidhaa za shanga

Est. 2021 mabibo mwisho
Chakula (Biriani kuku na Biriani Ngombe)

Biashara inapatikana siku ya Jumamosi. Napokea Order katikati ya week halafu napika Jumamosi na kufanya deliveries. Delivery ni free kwa walio maeneo ya ubungo. Sehemu nyingine unalipia delivery.

Est. 2021 Riverside Bus Stand
Tusa Sunflower oil

Nauza Mafuta ya Alizeti halisi Kwa bei ya jumla na rejareja Lita 5....27000 Lita 3....19000 Lita 20....95000

Est. 2021 Mabibo
Samwel Master polk

Tunauza kitimoto Safi kwa Bei poa Tupo mabibo

Est. 2021 Kwa tophy
Dar_furnituresofficial

furnitures mbali mbali, sofa, vitanda vya sofa, kabati, showcase, coffietable za kisasa, dressing table za kisasa nk

Est. 2019 shungashunga
Officex Limited

LABORATORY EQUIPMENT SUPPLIER

Est. 2020 First Inn
Adnan electronics

ismailabraham110@gmail.com

Est. 2019 0769716358
joel machine solutions

Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku, mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali, nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho. Wasililiana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158View attachment 1746434View attachment 1753054

Est. 2013 mabibo mwisho, ibungu bar
Zakayo Iganja

Uuzaji wa Vitabu

Est. 2020 Mabibo
Lily fashion

T-shirt Kali za mtumba grade 1 jinsia ya kiume pia wakike wanaweza vaa?? bei Ni 10000

Est. 2017 Mabibo hosteli
Mongo classic furniture

furniture

Est. 2021 ubungo external
BF SUMA PRODUCT

Tunatoa tiba kwa magonjwa mbalimbali, tunazo dawa mbalimbali zilizotengenezwa kiasili kutoka kampuni ya bf suma ya kimalekani

Est. 2013 Mabwawani
Joe Fragrance collection

Wauzaji wa perfume za kupima aina zote kwa wanaume na wanawake

Est. 2021 Joe fragrance collection
AJIRA MPYA TANZANIA - NEWSLINETZ

Ajira Mpya Tanzania - NewslineTz: Latest Education updates, Tanzania Jobs, Ajira Portal Tanzania, Aplication ,University Admission, Private and Government Jobs, Ajira Mpya, Nafasi za Kazi, Utumishi Portal, Scholarships, Mikopo, HESLB Loan status, TCU

Est. 2018 NEWSLINETZ
CCTV Security System

Services we provide is *CCTV Camera installation *Alarm system *Electric Fence and Motor gates Follow us on inst @cctv_mhtechtz

Est. 2019 Naccoz Area
spray na pete kwa Bei rahisi

tunauza body spray kwa tsh 4500 deodorant 3000 body splash 6500 pete1000

Est. 2020 mabibo mwisho
ALS welding machine

Tunatengeneza machine aina zote za kuchomea vyuma (1,2,na 3phase) ,step up na step down machine pamoja na kuuza mpyA zilizosukwa kwa ubora wa Hali ya juu.

Est. 1988 Ubungo maziwa
Triphonia Dental Clinic

Afya ya kinywa na meno

Est. 2019 Luhanga festini
mabibo furniture Call 0656371381 Izack mtui Director

Tuna tengeza sofa mpya Tuna balisha kitamba kwa sofa zilizo chakaaPia tuna uza sofa mpyaMawasiliano0656371381

Est. 2015 Tanga freshi mabibo mwisho
angel stationary

Stationary service

Est. 2020 nit
Mrimi fish Supplier

Uuzaji na Usambazaji wa Samaki Wabichi kutoka Mwanza

Est. 2019 Mabibo Sokoni
PRECIOUS HEALTH CARE

TIBA MBADALA MAGONYWA MBALI MBALI YA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME, MAGONYWA YA WATOTO,MAGONYWA SUGU, KUONGEZA KINGA MWILINI,KUPUNGUZA UMENENE,KUTOA MICHIRIZI MWILINI

Est. 2020 shunga shunga
ELCONSULTANCY SOLUTIONS

1. Tunaandika research proposals, reports ( Research consultancy) 2. Data analysis and interpretation 3. Business plans and Ideas. 4. Blogs creation and computer software 5. Online EDUCATION ,LOANS and JOBS application solutions 6. Reports writing

Est. 2019 NIT
NL Consultants

Research Consultancy Dissertation & Thesis Proposal & Reports Quantitative Research Qualitative Research Data Analysis Articles & Papers Professional Editing ICT Solutions Online Applications Education Consultancy Employment Services Documents

Est. 2016 External Ubungo
Benshu

kuuza viatu vyenye ubora wa grade A vya watoto na wakubwa

Est. 2020 Mabibo
excellent beauty nails saloon

Tunatoa huduma ya usafi wa kucha na urembo kwa maharusi na watu mbali mbali pia unaweza kutupigia kupitia namba yetu kwaajili ya huduma ukiitaji popote ulipo ndani ya Dar tunakufikia

Est. 2019 Mabibo Hostel
spare za pikipiki

wauzaji wa spare original za TVS hlx , 150 hlx ,125 BOXER BM 150 BMX 150 BM 100 na nyingezo zinapatakana kwa bei ya rejareja

Est. 2020 external karbu na daraja
Perfume

Tunauza perfume za kiume na za kike kwa beii nafuu.Pia delivery ipo popote ulipo tunakufikia.Nyote mnakaribishwa kuwekaorder zenu.

Est. 2020 Mabibo
Chinga

Wauzaji wa urembo wa ndani

Est. 2020 Mabibo
Neighbour designers

Desiging, preparation of BOQ, Material scheduling and full construction

Est. 2018 Ubungo
Chinga tz

Tunauza Pamoja na Kudisign ?Pazia ?Wallpaper ?Bomba za Mapazia ?Mashuka ?Carpet ?foronya Delivery tunafanya popote pale uliko. ☎+255 6927o7o64

Est. 2019 Mabibo
FUND RANGI/SKIMMING

FUNDI RANG KTK NYUMBA ZA WATU EITHER ZIWE MPYA AU ZA ZAMAN TUNAFANYA SKIMMING NA KUPAKA RANG EITHE N

Est. 2012 mabibo
Korosho Tanzania

Pata kurosho safi, tamu na yenye mvuto kwa bei nafuu Kg 1@ 20,000 tu za kitanzania Unaletewa mpaka ulipo Weka oda yako mapema 0765515181

Est. 2019 Ubungo
Ganpal Collections

Based on Tailoring Wedding,Sendoff and kitchen part dresses Wedding suits for male and other official suits for both men and womens All kind of uniforms both schools and corporate.

Est. 2017 Festin nearly Luhanga
Mmassa_Computers

Dealing with selling computers and computer accessories. Welcome all.

Est. 2017 Karume
Juice empire

Dealing with fresh fruits juice, smoothies, milkshakes and sugarcane juice We also serve the events

Est. 2019
MC Mopao Professional

Karibu ujipatie mziki & MC, mapambo, chakula, keki, video shooting, still picture, projectors, magari ya maharusi

Est. 2018 Landmark Hotel, Ubungo Riverside
Mopao Electronics & Technical Solutions

Tunatengeneza vifaa vya umeme aina zote tunauza ant-virus aina zote tuna supply vifaa vya umeme tunauza laptop aina zote. Karibuni sana for sale and repairs of your laptops phones and cameras

Est. 2003 Mabibo Hostel
Ginnah accessories ltd

Tunauza saa Aina zoote hereni za kisasa viatu vya kike na kiume pochi za kike na kiume. Vitu vyote tunauza kwa jumla na rejareja

Est. 2017 Ndani na nje ya Tanzania

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?