Dar es Salaam · Business Profile
CGH company ltd
Est. 2017
2017
Established
0
Products
boko
Operating Zone
About This Business
CGH company ltd We do office cleaning, home cleaning,and every business place cleaning, fumigation, landscaping also we do gardening
Kwa usafi wa majumbani maofisini na sehemu zote zinazohitaji usafi chaguo pekee ni CGH COMPANY lets sparkle your business place (wacha tungarishe sehemu yako ya bihashara) kama tujuavyo usafi ni kitu cha kwanza katika utendaji wa kazi na tunakuhakikishia kwetu hautojutia kututafuta maana tunafika hadi kwenye vificho. Lakini pia CGH tunafanya na gardening za kisasa na landscaping na fumigation
📍
Office Zone
boko
🏢
Address
Bagamoyo road
Boko Daressalam
Contact Information
Listed Products
0 products
🛍️
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.