Complete House cleaner

1999
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Sinza madukani
🏢 Address:

About This Business

Bidhaa bora za usafi wote wa nyumbani

Sabuni za usafi wa aina zote wa nyumbani kama kusafisha nyumba, kufulia, kuogea, kuoshea magari zisizopausha na zinaondoa uchafu wa kila namna. *Za kuogea zinatibu magonjwa ya ngozi pia kwa rika zote *Za kufulia hazipaushi nguo ila pia zinaokoa mda maana unaloweka kwa mda wa masaa matatu kisha unasuhuza na kuanika *Za kusafisha nyumba zinaondoa uchafu wote kwenye kuta, sakafu au tiles, vioo nk pamoja na kuzuia wadudu waaribifu kama kunguni, mende, mchwa nk *Ziko za jumla na lejaleja kwa bei nafuu na zinadumu kwa mda mrefu Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0758504954

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.