Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
Nauza asali mbichi kutoka tabora Litre 1 Tshs 13 000 = Litre 2 Tshs 26 000 = Litre 3 Tshs 54 000 = Litre 5 Tshs 65 000 = Litre 10 Shs 130 000 = Kwa wazi wote wa Dar es salaam unaletewa popote ulipo mawasiliano ni 0743 788 246 0767772687
Tunatengeneza vifaa vya umeme aina zote tunauza ant-virus aina zote tuna supply vifaa vya umeme tunauza laptop aina zote. Karibuni sana for sale and repairs of your laptops phones and cameras
Karibuni sana kwa maelezo zaidi tupigie kwenye namba 0673350746
Karibuni Haji Tiles kwa mahitaji yako ya tiles gpsum board powder shower sink masinki ya jikoni n.k
Zifuatazo ni faida za kutumia #CHIASEED changamka leo hii upate SULUHISHO la tatzo lako
#CHIASEED zinapatikana kwa bei poa kabisa 1kg 12000 =
We are dealing with Beauty cosmetics and personal care we are dealing with Hair Facial Nails Make up microblanding and Lashes
Karibuni sana kwa mahitaji yako ya nguo wakati huu wa sikukuu. Tupigie 0658224320
Tunauza nguo za wakubwa na watoto kwa bei poa kabisa karibu ujipatie suti za kijanaja katika msimu huu wa chrismas na mwaka mpya
Karibuni sana
Karibu tukushonee upendeze pia tunadesign nguo mbalimbali za rika zote na jinsia zote karibu upendeze kwa gharama nafuu
Tunatengeneza Chocolate cakes zenye ubora wa hali ya juu karibu tukuhudumie
Karibu Masonga bakery shop ujipatie aina nne (4) za mikate kama vile French & Butter bread milk & butter bread sweat milk bread na brown bread kwa bei nafuu pia tunafanya delivery bei ni kama bure
Iphone aina zote full boxed zenye warranty ya mwaka mzima zinapatikana tupigie 0687309910
Iphone aina zote full boxed zenye warranty ya mwaka mzima zinapatikana tupigie 0687309910
Kwa mahitaji ya vitanda vizuri nipigie kwa 0719714298 na whatsapp pia napatikana
Kwa mahitaji ya furnitures nzuri kwa bei nafuu kama makabati vitanda showcase meza viti etc.tu follows @ts_furnitures Au tupigie?0719-714298 na whatsapp. Pia tunapatikana keko near na Chuo cha veta Dar es Salaam na Mikoani tunatuma kwa bei nafuu. @ts_furnitures @ts_furnitures.
Ni mafuta ya mnyonyo yanafanya kazi ya kukuza nywele kuondoa mba kufanya nywele zisikatike na kujaza nywele kwa fedha za kitanzania ni sh 5000 = tu na delivery ni 2000 =
Karibuni sana kwa mahitaji mbalimbali kwa ajili ya mtoto wako tupo Sinza Mori
Specializing in all baby products Quality is our motto all your childs skin and related matters guaranteed to be met @ affordable prices.
Perfumes nzri sana zinakaa kwenye nguo Kwa jumla na rejareja Karibu
Perfumes nzri sana zinakaa kwenye nguo Kwa jumla na rejareja Karibu
Karibuni sana kwa vifaa mbalimbali vya magari
Tunauza vifaa vya magari kama vile seat cover cover za stearing tafanya service kumwaga oil na matengenezo madogo madogo
Karibuni sana kwa mahitaji yako ya vifaa vya electonic
We selling goods in affordable prices and very good quality. We are selling access centrol 3 in 1 Biometric face recognition finger print CCTV camera and so on
Tairi zenye ubora na uhakika wa safari Tupo kwa ajili yako tukakuhudima
Ahsante kwa huduma hii kwa watu wa dar Tunaomba mtusaidi kutupost katika akaunt yenu ya instagram ili waje kutembelea huku
Karibuni sana for your phone repairs
Tunarekebisha iPhone tuna uza iphone tunauza covers za simu
Karibuni sana!!!
Karibu iPhone Bay TZ for all your iPhones accessories needs
We are a Private Insurance Agency based in Dar Es Salaam Tanzania. We provide for General Insurance like: Travel Motor Marine Fire Health Bond etc
?OFFER OFFER OFFER ?? SINGIDA GOLD SUNFLOWER OIL ni mafuta bora ya Alizeti yasiyo na cholesterol wala kemikali ya aina yeyote sasa yanapatikana katika ujazo tofauti kuanzia Litre 1 hadi Litre 20 tunapokea Order za Jumla na Rejareja tunatuma Popote ulipo kwa Dar es salaam tupo Kigamboni na Kariakoo. Kwa mawasiliano +255683625140 +255745671619 Instagram@smartafrica_investments Kwa wateja wa Mikoa ya SINGIDA na DAR ES SALAAM tunafanya Delivery FREE?
Mzigo mpya wa hereni umefika kesho asubuhi na mapema utakuwepo. Karibu utoe oder yako Sasa kupitia no zetu 0754992562
Njoo upendeze na Dominiki Godfrey
We deal with clothing (Brand) pia tunashona suti za aina mbalimbali kama vile Congo fashion suit pia tunadesign nguo kama vile vitenge black satin club collar. Karibu upendeze kitofauti na Dominiki Godfrey
Je unahangaika kutafuta mashine bora ya kutotolesha vifaranga wa kuku bata mzinga bata bukini bata wa kienyeji kanga na kwale bila mafanikio? Basi #nafuuincubatorstanzania ndio suluhisho lako tuna mashine bora imara na za kisasa zinazogeuza mayai zenyewe na pia zina warranty ya mwaka 1. Utotoleshaji wake si chini ya asilimia 96. Bei inaanzia 280000 tu kwa mashine ya mayai 36. Zipo kubwa zaidi kwa mawasiliano tutafute kupitia +255764716280 au 0620496687 au 0687588116. Like & tufollow kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii: Facebook : @nafuuincubators Instagram : @nafuuincubatorstz Twitter : @nafuuincubators LinkedIn : @ nafuuincubators
?OFFER OFFER OFFER ?? SINGIDA GOLD SUNFLOWER OIL ni mafuta bora ya Alizeti yasiyo na cholesterol wala kemikali ya aina yeyote sasa yanapatikana katika ujazo tofauti kuanzia Litre 1 hadi Litre 20 tunapokea Order za Jumla na Rejareja tunatuma Popote ulipo kwa Dar es salaam tupo Kigamboni na Kariakoo. Kwa mawasiliano +255683625140 +255745671619 Instagram@smartafrica_investments Kwa wateja wa Mikoa ya SINGIDA na DAR ES SALAAM tunafanya Delivery FREE?