Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


H$N creative Est: 2020 - 12/15/2020 8:26:20 AM
karibu kwa utengenezaji wa mabango @##0620449421

H$N creative Est: 2020 - 12/15/2020 8:23:16 AM
karibu utengeze logo kwa bei rahis sana pamoja na mabango kwa bei rahisi sana.

Martina Clothing Store Est: 2020 - 12/15/2020 3:35:29 AM
Suruali za kike. Martina Clothing Store, wauzaji wa nguo za mitumba tunakuletea offer ya msimu huu wa sikukuu. Jipatie suruali (jeans/ za ofisini) kwa bei ya punguzo ambayo ni 6,000. Tunakuletea popote ulipo kwa gharama nafuu. Tembelea ukurasa wetu wa instagram kwa taarifa zaidi @martina_clothing_store. Offer hii ni ya tarehe 16/12 hadi tarehe 03/01

Marismahproduct Est: 2019 - 12/14/2020 6:58:59 PM
Sale sale sale Jipatie double frying pan cm 36 kwa 50,000 tuu wahai sale hii kabla bidhaa hazijaisha kuwai kwako ndo kupata kwako wasiliana nasi kupitia 0656902696

Car painting Est: 2016 - 12/14/2020 5:16:19 AM
Toyota Corona Kuna vitu vngi vinausika katika kufanya kazi Nzuri (1)uandaaji Mzur (2)kutumia material bora Kwa kazi husika (3)kazi ifanyike Kwa wakati sahihi nikisema wakati sahihi Namaansha kama kazi ni ya siku 7 isifanyike Kwa siku 3 huwezi pata kazi Nzuri (4)kutumia rangi bora ambazo hazipauki mapema. Karibu sana ubadilishe muonekano Gari Kwa bei nafuu kabisa

Sia Good Events Est: 2018 - 12/13/2020 10:27:50 PM
for decoration service 0712360776 ulipo tunakufikia kwa gharama nafuu

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/13/2020 9:18:05 PM
JAMANI SASA IMEFIKA WAKATI UBADILI KOCHI. MSIMU HUU WA SIKUKUU USIKUBALI KUBADILI MWAKA NA SOFA SET YA ZAMANI. TUCHECK 0716771053/0686785485 TUKUWEZESHE KUANZA MWAKA NA SET MPYA.

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/13/2020 9:16:31 PM
BADILI RANGI YA NYUMBA YAKO NA SISI, TUNAMAFUNDI WAZOEFU NA KWA BEI YA KITANZANIA KABISA.. BADILI RANGI MSIMU HUU WA SIKUKUU. 0716771053/0686785485

Martina Clothing Store Est: 2020 - 12/13/2020 2:45:13 AM
Suruali za jeans za mitumba za kike kwa 8,000/- tu. Karibuni sana.

aluminiumglass7 Est: 2013 - 12/12/2020 11:10:49 PM
kwa kaz kama hizi na zinginezo utazipata hapa

Viwanja Noble real estate Est: 2018 - 12/10/2020 9:25:43 PM
KARIBU NOBLE REAL ESTATE TUNAKOPESHA VIWAJA KWA BEI NSFUU BILA LIBA WALA DHAMANA 0620430477

Viwanja Noble real estate Est: 2018 - 12/10/2020 9:24:13 PM
KARIBUNI NOBLE REAL ESTATE UJIPATIE VIWANJA VIZURI AMBAVYO VIPEMIMWA NA VINAHATIMILIKI 0620430477

Viwanja Noble real estate Est: 2018 - 12/10/2020 9:20:15 PM
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA CHAMA UKUMBWA 20 kwa 35

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:16:19 PM
Form-Six Tshirts zipo sasa

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:15:17 PM
Cadets nzuri zipo kwa bei ya 20000/= tu Nunua mbili kwa 38000/= karibuni sana

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:14:07 PM
Gauni zuri sana lipo kwa bei nafuu

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:11:46 PM
Jumpsuit ipo

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:11:08 PM
Welcome gauni lipo(bila mkanda) 25000/= tu +255654953886

Brina’s collection Est: 2018 - 12/10/2020 9:05:32 PM
Mashati ya kiume cotton nzuri yapo kwa bei ya 20000/= tu Wahi sasa ujipatie lako Size zipo hadi XXXXL Welcome +255654953886

McJugweB Events & Milk Storee.. Est: 2018 - 12/10/2020 2:36:55 AM
Kwa kupata maziwa fresh na mtindii unapatikanaa hapaa, kwa Dar es Salaam delivery ni bure kabisaa kuanziaa Lita 5... piga namba 0659603860 au WhatsApp 0747576875

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/9/2020 9:25:13 PM
USIINGIE MWAKA MPYA NA RANGI YA ZAMANI BADILI RANGI YA NYUMBA YAKO NA SISI TIPIGIE 0686785485/0716771053

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/9/2020 9:24:19 PM
DINNING TABLE NZURI SANA UNAIPATA KWA ORDER NA HARAKA UNALETEWA MZIGO WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0716771053/0686785485

Kulcas_cakes Est: - 12/9/2020 8:31:00 PM
Chocolate cake packages available for 10000 and 15000 Call/whatsup 0714842522

Rogers masofa Est: 2000 - 12/9/2020 8:30:22 AM
Tunatengeneza funirture Aina zote call 0743583541

Rogers masofa Est: 2000 - 12/9/2020 8:28:51 AM
Tunatengeneza na kuripea sofa Aina zote call 0743583541

Rogers masofa Est: 2000 - 12/9/2020 8:27:18 AM
Tunatengeneza na kuripea sofa Aina zote call 0743583541

SendusChina Est: - 12/8/2020 10:59:08 PM
Bei 60,000

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/8/2020 9:26:37 PM
USININGINIZE NGUO NYIMA YA MLANHO KABATI SIMPLE ZURI UENJOY NALO MSIMU HUU WA SIKUKUUU WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0716771053/0686785485

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/8/2020 9:25:07 PM
BADILI NDANI MWA NYUMBA YAKO NASI KWA RANGI SAFI NA DEVORATIONS ZA KISASA WASILIANA NASI KWA SIMU 0716771053/0686785485

Viwanja/Kiwanja Est: 2020 - 12/8/2020 9:05:41 PM
Kiwanja kinauzwa kipo Mbagala Kongowe, kituo ni mzinga, dakika 15 tu kutoka barabara kuu ya kilwa. Ukubwa wa kiwanja ni 40M x 35M.

Amcakes Est: 2019 - 12/8/2020 9:44:07 AM
OFFER kwa cakes za graduations za Christmas

sangiruge Est: 2016 - 12/7/2020 11:17:32 PM
vitu hiyo vya gadeni viko poa sana karibuni sana ujipatie kilicho bora sana kwa bei. iliyo poa sana wahi sasa ofa ya kufunga mwaka by another level furniture

JIKO RAFIKI Est: 2016 - 12/7/2020 11:15:45 PM
Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao na mabunzi pia ..linapatikana kwa Tsh 50000/=tu pamoja na free delivery kwa wakazi wa Daressalaam.. NB limewekwa material maalum ndani yake

JIKO RAFIKI Est: 2016 - 12/7/2020 10:59:23 PM
Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao na mabunzi pia ..linapatikana kwa Tsh 50000/=tu pamoja na free delivery kwa wakazi wa Daressalaam.. NB limewekwa material maalum ndani yake

JIKO RAFIKI Est: 2016 - 12/7/2020 10:56:11 PM
Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao na mabunzi pia ..linapatikana kwa Tsh 50000/=tu pamoja na free delivery kwa wakazi wa Daressalaam.. NB limewekwa material maalum ndani yake

PhenolfxTZ Est: 2019 - 12/7/2020 10:46:16 PM
tunatoa huduma za mafunzo ya FOREX training ada ni 100,000/= tu kuanzia level ya chini kabisa mpk level ya juu pale utakapo kuwa tayari kuweza kuingia sokoni mwenyewe..KARIBU tukufunze jinsi ya kutengeneza pesa taratibu..mafunzo yatatolewa kwa awamu mbili tofauti kwa wale ambao wanahitaji 1 to 1 training ada ni 150,000/= Pia tunatoa signal kwa wale ambao wanahitaji kuwekeza kwenye FOREX lkn wanakosa muda mzuri wa kulichambua soko sisi tupo kwa ajili yao ada kwa mwezi ni 30,000/= tu Pia tunasimamia ACC za watu mbalimbali: vigezo: Acc inatakiwa isipungue chini ya 200$ na mgawanyo wa faida utakuwa 50/50 kila wiki ya kazi. +277249677497 WhatsApp

sangiruge Est: 2016 - 12/7/2020 9:21:58 PM
coffee table hiyo iko poa sana karibuni sana upate kilicho bora sana kutoka kwa another level furniture kwa bei nafuuu sana

Bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini Est: 2017 - 12/7/2020 5:11:03 PM
Ninauza bidhaa za usafi kwa bei rahisi mno zenye ubora wa hali ya juu

Jimmy furniture Est: 2010 - 12/7/2020 11:14:25 AM
Tunatengenza furniture aina zote kwa order tunapatikana keko bora kwa mawasiliano kwa no 0689202144

Muuza bidhaa mbalimbali Est: 2019 - 12/6/2020 11:02:49 PM
Nauza show case ya kuwekea bidhaa mbalimbali Dukani bidhaa kama perfume body spray miwani nk zipo show case mbili napatikana kwa number 0713258874