Hans__barber

2003
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Kimara Mwisho Karibu na Jengo la TRA.
🏢 Address:

About This Business

KUNYOA NA KUPENDEZA,NANYOA NYWELE ZA ASILI KWA STYLE ZA AINA ZOTE IKIWEMO KUWEKA RANGI MBALIMBALI ZA NYWELE,WAV,CURL,RUFF DREAD BILA KUSAHAU FACIAL MBALI MBALI KAMA SCRUB,STIMA(MVUKE) SCRUB YA ASILI(ASALI,TANGO,LIMAO) NA REPAIR DREADLOCKS.

Kupendeza kunaanzia Kichwani Siku zote,Si kwa Wanaume,Wanawake na Watoto! Muonekano wako Mzuri wa Nywele,zilizonyolewa Vzr na Kisasa kabisa Utakufanya Upendeze na kuwa Nadhifu!! Mwanamke: Huna haja ya kubeba mizigo Kichwani ya Nywele Bandia,Hizo hizo Nywele zako za Asili nina Uwezo wa Kuzinyoa Vzr na Kuweka Dawa itayoleta Chambu Chambu (Wimbi) ktk Nywele yako bila Kusahau Rangi Mbali mbali za Nywele! tena Asili kabisa kama Hina.Hakika lzm Utanoga tu kwa Nywele fupi zenye Muonekano mzuri. Mwanaume: Nina huduma yakunyoa ya Kisasa kabisa! Smart Shave kwa Style tofauti na Zakijanja,Njoo Uone jinsi Ninavyonyoosha hizo hengo! Style zote za Kiume ninanyoa Vzr kabisa. Unataka FACE FACIAL!? Huduma hii ipo,Kuna Scrub za kila aina Kama hii ya Asili ya Asali na Liwa.Inafaa kwa Wote,Wanaume na Wanawake.Mvuke wa Maji ya kawaida huku ukisuguliwa Uso na Tango pia ni Nzuri kwa Uso na ngozi yake,Kwani huondoa Uchafu usoni na Mafuta yasiyohitajika. Watoto: Hawa pia nimewazingatia Mahitaji yao ya Kupendeza,Mlete Mtoto pia atapata Muonekano sahihi wa kisasa. KARIBU NIKUHUDUMIE,NITAKUPA HUDUMA BORA NA INAYOSTAHILI KWA GHARAMA NAFUU!!=O

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.