#ComeToUsAndDoubleYourAppetite

Eiman Food Point Est: 2020 - 12/53/2020
Je, una mtoto ambae ana changamoto ya kuongezeka uzito! hapendi kula na ungependa mwanao awe na afya na kunawiri! karibu @eiman_food_point tumekuletea wewe mama mtoto unga wa mbegu lishe ambao ni mchanganyiko wa korosho, rozi(almond) na pistachio. mchanganyiko huu utampatia mtoto Nutrition za kutosha na kuongeza uzito usio na madhara. order sasa mixed nuts umpatie mtoto wako afurahie chakula na kujenga afya. #ComeToUsAndDoubleYourAppetite
Eiman Food Point Est: 2020 - 12/51/2020
Mama mjamzito unatakiwa uanze kuandaa mwili wako kwa ajili ya kunyonyesha, @eiman_food_point tumekuletea unga wa mbegu za maboga wenye mchanganyiko wa pilipili mtama. tumia huu unga kabla na baada ya kujifungua kuupa mwili afya na virutubisho vya kutosha , matokeo yake! utapata kiwango kikubwa cha maziwa (milk supply) na maziwa yanakua mazito, mtoto anakunywa anashiba. kunyonyesha miezi sita bila kumpa mtoto chakula inawezekana. #ComeToUsAndDoubleYourAppetite #HaibaguiHaichagui