#Kajala

Kipampemedia Est: 2021 - 12/01/2021
kipampemedia: Drama ya kuvunjika uhusiano wa msanii @harmonize_tz ama Konde Boy na #Kajala imechukua sura mpya baada ya msanii @rayvanny kumshutumu Konde Boy kuwa alimtaka kimapenzi #Paula. Shutuma hizo #Rayvanny alizitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram usiku wa kuamkia leo, kadhalika na kuachia chat za mtoto wa Kajala (Paula) na Harmonize. Kwenye maelezo yake, #Rayvanny ambaye anadaiwa kuwa na mahusiano na Paula, mshangaa Harmonize kutuma picha zake za utupu kwa binti huyo licha ya kuwa wakati huo alikuwa na uhusiano na Kajala. Unamtazamo gani juu ya hili?