Dar es Salaam · Business Profile
Joylees products
Est. 2020
2020
Established
0
Products
kibada, Kigamboni
Operating Zone
About This Business
Viungo vya chakula
Ni viungo vya kunogesha na kufanya chakula kiwe na ladha nzuri sana na ya kipekee. vinaweza kutumika kwenye mboga mbalimbali kama nyama, samaki, maharage, choroko n.k pia kwa chakula kama wali, pilau, ndizi, makande n.k. na pia unawezatumia kwa marination ya nyama, samaki, kuku. n.k. vinapatikana kwa bei nafuu ya sh 4000 tu. karibuni Sana.
📍
Office Zone
kibada, Kigamboni
🏢
Address
P.O.box 40042
kibada, kigamboni
Dar es salaam
Contact Information
Listed Products
0 products
🛍️
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.