All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

JulioTrevisan.co.Ltd

Est. 2020
2020
Established
0
Products
Mbezi Beach (B)
Operating Zone
About This Business

Ni company ambayo tunatengeneza bidhaa mbali mbali kama vile sabuni za maji aina nyingi na pia bidha zengine kama Vitakashio vya chooni, masinki , Tiles n.k


Ni kampuni mpya yenye kujali na kulinda afya yako , tunatengeneza bidha tofauti kama sabuni za maji zenye ubora na zinaua bacteria, fungus na virusi , pia tunazo vitakashio vya kusafishia masinki , chooni , tiles .. tunajali afya ya kila binadamu na bei zetu ni rahisi na nzuri 

Office Zone Mbezi Beach (B)
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.