All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

Majoys Devine Cakes

Est. 2016
2016
Established
0
Products
Tabata Changombe
Operating Zone
About This Business

Tunatengeneza keki za aina zote kwa shughuli mbalimbali na gharama zetu ni nafuu sana. Mfano: Send Off, Kipaimara, Harusi, Mahafali, Kitchen Party na Birthdays.


Majoys Devine Cakes Tunatoa mafunzo kwa ya kuoka na kupamba keki kwa vitendo na online. Pia tunatoa mafunzo kwa wanaohitaji kujua mapishi ya vyakula mbalimbali na vitafunwa. Tunapatikana Tabata Changombe.

Office Zone Tabata Changombe
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.