Marsa Chicken

2019
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Mikocheni B
🏢 Address: Mikocheni B, Dar es Salaam, Tanzania

About This Business

Wauzaji na wasambazaji wa kuku halisi wa kienyeji kwa jumla na reja reja kwa biashara na watu binafsi

Tuna chinja na kukata kata kuku kwa usafi na ubora wa hali ya juu wakiwa tayari kwa matumizi ya ki biashara (hotel, migahawa, function, butcher, etc) na wa nyumbani. Tunauza kwa masoko yote Dar tunafanya delivery pia. Tupigie 0687844423 Whatsapp 0687844423 kuweka order yako. Kwa order kubwa tuma mapema watayarishwe. Karibu Marsa Chicken

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.