Dar es Salaam · Business Profile
Maxqual Engineering Group Limited
Welcome Maxqual steel Formworks and Scaffolding solutions. Our company hires and installs steel formworks for SLAB, BEAM COLUMNS e.t.c for all construction sizes. Tunakodisha na kufunga Mirunda na Sahani za chuma kwa matumizi ya Slab, Beam, Nguzo n. k
MAXQUAL ENGINEERING GROUP
Ni Kampuni inayoongoza na kusifiwa kwa kuwa na bei nafuu sana na kwa ubora ule ule unaoutarajia wa kiwango cha juu.
#MAXQUAL  inatoa huduma ya kukodisha mirunda ya kisasa (chuma) na Sahani zake yani Plates za chuma na formworks materials yote kwa matumizi ya kujengea  #Slab,  #Beam,  #Columns  na kazi nyingine zozote zinazofanania.
Bei zetu ni nafuu sana na tukodisha pamoja na kukufungia kwa gharama zetu wenyewe sambamba na offer ya usafiri.
Pia, tunapokea kazi za ujenzi wa nyumba za biashara, ofisi na za kuishi kuanzia msingi mpaka finishing.
Karibu ufurahie huduma zetu,
0692487465
0716505058
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.