Narscent Fresh Food

2016
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Changombe TRA
🏢 Address: Changombe Bora, TRA TEMEKE

About This Business

Hizi ni karanga za mayai, zenye ladha nzuri kabisa. Zina mayai, sukari, chumvi na ngano kidogo.

Biashara, inajulikana Kwa Jina la NARSCENT FRESHFOOD, Buy my product send me to flying school. Nilianzisha Kwa dhumuni la kukusanya fedha Kwa ajili ya kusomea URUBANI. Na hata nikiifanikisha ndoto yangu, asilimia kadhaa za mapato ya Biashara yangu zitaenda Kwa vijana wenye ndoto za kufanikiwa katika tasnia hii ya ndege na anga Kwa ujumla.kwa Sasa ziko package za Aina Mbili ya Shilingi 1000 na Shilingi 500. Karibuni Sana 

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.