Dar es Salaam · Business Profile
PVC Windows Doors and ballucone
Est. 2009
2009
Established
0
Products
mbezi beach na buzza kwa lulenge
Operating Zone
About This Business
Natengeneza madirisha ya pvc milango pamoja na ballucone za kwenye ngazi au vibalazani
natengeneza madirisha ya pvc milango pamoja na ballucone yaani chuma za kwenye au vibalaza natumia matirio yanayotoka nchini uturuky pia hii technologie imeletwa na waturuki !!!!! madirisha ya pvc yanabadirisha muonekano wa nyumba yako ata kama ni ya kawaida lakini pvc inaleta muonekano tofauti !!!! niamini mimi.
📍
Office Zone
mbezi beach na buzza kwa lulenge
Contact Information
Listed Products
0 products
🛍️
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.