Dar es Salaam • Business Profile
Pishoni Quality Furnitures & Decoration
Tunatengeneza, tunarepea na kudesign Furniture aina zote, Pia tunafanyaAll Enterial&Exterial Design
Kwa Mahitaji ya Samani/Furniture za kisasa kama Vitanda, Makabati ya Ukutani, Jikoni, Sofa seti aina zote za Kisasa, Vitanda na Bidhaa za Mashuleni, Maofisini na Hospitalini Wasiliana nasi kwa 0715186156 Whatsap&Call, Instagrm Pishoni_quality, Pia tunafanya Home Decoration aina zote, ndani na Nje kama Gypsum design, Wall tvs, Liquid&Dry Wallpaper Installation, Popote tunakufikia Kwa Bei nafuu ndani na Nje ya Dar es Salaam. Karibu Sana.
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.