All Businesses

Dar es Salaam · Business Profile

double G pure black castor oil

Est. 2018
2018
Established
0
Products
Mbagala rangi tatu
Operating Zone
📋 About This Business

Ni wauzaji wa mafuta ya nywele ambayo yanakuza,yanajaza,yanarefusha,na kuondoa mba kwenye nywele yako na kufanya nywele yako iwe nyeusi


Mafuta ya pure castro black oil yanakuza nywele haraka, ukiyapasha joto kidogo kabla ya kupaka, kisha unapaka kwenye ngozi ya kichwa na kuyatawanya vizuri katika ngozi taratibu kama una massage kichwa chako pia bila kupasha kule kumassage kunayongezea joto linayoyapa uwezo wa kupenya vizuri. Unapopaka na kutawanya vizuri unasaidia kuongeza mzunguko wa damu kichwani hivyo virutubisho vinavyoletwa na damu kukuza nywele zako vinafika kwa utoshelevu. Mafuta haya yana virutubisho mbali mbali ikiwemo Omega 6 fatty acids ambazo huongeza virutubisho vinavyoleta afya katika nywele zako. KARIBU SANA TUKUHUDUMIE

📍
Office Zone Mbagala rangi tatu
🏢
Address P.O.Box 46343 Kilwa road Mbagala, dar es salaam
Listed Products 0 products
🛍️

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.