@fantasy_beauty_parlour

2020
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: mabibo mwisho
🏢 Address:

About This Business

Tunafanya makeup ,,tunafundisha wanafunzi wanao itaji kujifunza kufanya makeup,,, tunauza vifaa vya makeup,, tunauza mafuta ya LONGRI BODY CREAM ,,LONGRI SERUM NA LONGRI SABUNI

JE????? Unasumbuliwa na chunusi za mara kwa mara au tu ngozi yako ime fubaaaa !!!!? @fantasy_beauty_parlour wanakuletea Bizaa zao nzuri kabisa za LONGRI =ILONGRI BODY CREAM =ILONGRI SERUM =ILONGRICH SABUNI LONGRI BODY CREAM Inatibu chunusi kwa wale walio aribika na crem kalii unajuwa siyo tu unapaka cream ni cream kwasababu cream nyingine ni atari kwa sura yako unaweza kupaka ukajuwa unatibu kumbe unaaribu ngozi yako. Ndomana sisi kama @fantasy_beauty_parlour tuna kushauri kwanza kabla ujatumia mafuta yetu. Kwanza kabla ujatumia bidhaaa zetu tutaitaji kujuwa kujuwa kwanini unataka kutumia mafuta yetu Je!!! Nichunusi,,,weusi kwenye macho,,,wekundu kwenye mashavu,,,,, utango tango,,madoa na mabaka baka usoni au ni aleg. Inayo kusumbua????? TIBA TUNAYO Je!!!!! Unataka kungaaa bila kupoteza rangi yako asili yani kama ni mweusi basi uwe na weusi flani mzuri nyororo na wakuvutia Nakama ni mweusi wa kati mana kuna mweusi tiii tunaita weusi namba moja,, na mweusi wa kati yani namba mbili sasa uyu mweusi wa kati akitaka kutumia bidhaa zetu atakuwa na weusi flani ivi wa chocolate yani atatakata vizuri bila kupoteza asili yake Lkn piya kama wewe ni mweupe wa kati na unaitaji kungaa kidogo basi utapata karangi lfani ivi amazing wenyewe wanakaita karangi pesa Lakini piya kwa wale wanao itaji kuwa weupe peeee yani waarabu aswaa bila chunusi bila kuungua bila miwani yani weupee peeee ukipita majirani waulize uyu mzungu gani !!!?mmmmh mafuta yapo piya kwaajili yenu Yani bidhaaa zetu tunakupa kutokana na maelezo yako wewe mwenyewe unataka kuwaje ndomana tunaiita LONGRI LOTION TIBA LONGRICH SABUNI kwa wale wanausumbuliwa na muwasho yani unakuta mtu anajikuna tu mpaka anapata vi rashes vidogo vidogo wengine wanaita joto lakni ukiogea longrich sabuni iyo hali autaisikia tena. LONGRICH SABUNI INATUMIKA KWA WANAUME NA WANAWAKE NISABUNI NZURI ZENYE ARUFU NZURI SANA KWAWALE KAKA ZETU WASIO PENDA UNYUNYU =longrich sabuni itakuacha ukinukia muda wote bila kuwngaika na unyunyu Imagine sabuni inakutibu inakupa usoft wa ngozi na bado inakuacha na arufuu nzuriiii ya kuvutia Lakini piya tuna LONGRI SERUM hii ni kwawale wana sumbuliwa na SUGU yani unakuta msichana mrembo anapendeza lakini uki muangalia vidole vya miguu na mikono vimechafuliwa na sugu >& @< Ewe kijana unaeteswa na SUGU usikubali kuendelea kuteseka na kukosa uhuru longri serum ni jibu la uhakika yani kama una TESWA NA =G =ISUGU =IWEUSI KWENYE MAKWAPA =IWEUSI KWENYE MAPAJA YANI KATIKATI APO =IWEUSI KWENYE VI WIKO =INA WEUSI KWENYE VIDOLE VYA MIGUU =ILONGRI SERUM NDO JIBU LAKO Kwa mawasiliano tupigie 0744066965 ipo whatsup piya ukitaka kututumia picha yako tuone tatizo lako kabla tuma apokwenye iyo namba na maelezo yake ili tukushaauri USHAURI NI BUREEEEEEEE KABISAAAAAA TUPIGIE SASA TUKUSHAURI

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.