salma castor oil
2019
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Mombasa
🏢 Address:
🏢 Address:
About This Business
ni mafuta mazur xana anatumia mtoto,mama,baba,kaka au dada na ni afya ya ngoz na nyweleee hutumika katika nyweleee na ngoz huondoa mba na miwasho yanaweka unyevu kwenye nyweleee hii inasaidia kuondoa mba na miwasho hurefuxha nyweleee na kufanya ziwe nyeusi hata watu wenye vipara huwa yanawasaidia xana kwa matumiz ya ngozi hulainixha ngoz hasa wenye ngoz kavu, huondoa michiriz mwilin na makovu
Contact Information
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.