Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Toangoma
Medical equipment supplier Hospital Diagnostic centre
Natoa huduma ya furniture za Chuma & Mbao kwa gharama nafuu
nguo za watoto
Tunapika cake na kupamba kwa matumizi ya nyumbani na shughuli mbalimbali harusi,kitchen part,birthday,kipaimara,send off,graduation na nk .pia tunapika bites na cooks kwa matumizi ya nyumbani na herehe mbali mbali.
Ninauza dagaa za kukaanga wa mwanza kwa jumla na rejareja na pia ninauza Karanga za mayai kwa jumla na rejareja na kwenye maharusi karibuni Sana -Pata kinachokustahili
Tunatengeneza keki za aina mbali mbali kwa upande wa decoration cakes kwa mfano Birthday cake, wedding cakes n.k. Plain cake, cup cakes, cookies aina mbali mbali pia na bites zinapatikana.
Natengeneza paperflowers kwa ajili ya mapambo. Unaweza kupamba kwenye event mbalimbali Kama vile harusi, send-off, kitchen party, birthday, sitting room yako nk
Viungo vya chakula
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →