Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Mbezi

73 biashara
Nyumbani / Biashara / Mbezi
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Mbezi 73 biashara
Tunafanya utafiti wa madini Ardhini, na Uchimbaji wa Visima virefu vya Maji

#MADINI - Tufanya utafiti wa Madini Mbali mbali Ardhini Kama Dhahabu, Almasi Ruby, Sapphire, Silver na Emerald kwa Laki 5 kila ekari na unaweza kulipa kwa asilimia baada ya uchimbaji kuanza katika eneo lako. #MAJI - Tunachimba visima vya Maji

Est. 2017 mbezi mwisho
seat cover &sofa

natengeneza seat cover za magari aina zote roof za gar na bamber zake pia pazia za bajaji na roof zake na pia sofa aina zote nafanya repair za sofa aina zote tunafanya kaz paka nyumbani na kwa uaminifu kabisa

Est. 2017 mbezi lound about ya kwenda kinyelezi
Helen collection

Uuzaji wa viatu na pochi za wadada

Est. 2021 Kwa matiasi kibaha
Tom Mtindi and yorghut Hous

KWA MAJINA NAITWA TOM NAJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA MAZIWA (MTINDI NA YORGHUT) KWA ODA KWANZIA LITA 5 KWA BEI NAFUU ZAIDI KARIBUNI

Est. 2021 MBEZI MWISHO
duka

biashala yangu ni ya nguo za mtumba

Est. 2021 mbezi mwisho stendi
SIVA CLEANING SERVICE

ni biashara inayo husika na hutoaji wa huduma ya usafi wa ndani na wa njee usafishaki wa TILES zilizo chakaa na kuziweka kuwa zinazo ngaa na kupendeza sana pia tunauza dawa za kusafishia TILES na masink ya chooni zinapatikana ni dawa ambayo ni suruhisho la uchafu unao chafua TILES na masink

Est. 2021 mlandizi kibaha
Gypsum expert

Unataka TV cabinet,siling na hatch za gypsum za kisasa, lakini hujui utapata wapi mafundi watalam waliobobea, waaminifu?. Sasa ondoa shaka umesha wapata. Follow uor fb, tweetter & instagram pages, to get new update every time. @gypsum_expert_tz @gypsum_

Est. 2007 Dar
Makuku mia

Utengenezaji vyungu vya udongo.

Est. 2016 Mbezi mwisho
Ojay Electronics

Tunauza bizaa zote za electronics kwa bei poa kuliko kariakoo na tunatoa warantee

Est. 2019 Mbezi luis Dar
SEVEN SERIES INTERNATIONAL

elizabethrichard799@gmail.com

Est. 2021 0624158799
Designer & promoter

Tuna design matangazo na poster kisha kutangaza kupitia website yetu & social media

Est. 2019 Idawa blog
Photography

Sendoff|Wedding Coverage|Birthdays|International Bookings. Photoshoot coverage.

Est. 2019 Makabe
Masha Products

Tunaandaa unga halisi wa Mlonge kama kirutubisho kwa ajili ya kuimarisha Afya ya Mwili

Est. 2018 Online
ongezeka autoparts

spare za mabasi makubwa ya kichina kama yutong, sunlong, higer,golden dragon,asia star, zhonton

Est. 2021 mbezi stand ya Magufuli/ mita 300 toka stand
Tafiti Consult limited

Tunatoa huduma za ushauri wa namna ya kuandaa tafiti mbalimbali za kielimu na kibiahsara kwa ngazi/level zote

Est. 2021 Mbezi Beach Tangibovu
Wilhelm haule hardware

Wauzaji wa vifaa vyote vya ujenzi pamoja na mbao zote

Est. 2010 Kwa paulo
Queens jewellery

Tunauza cheni, hereni na urembo mbalimbali

Est. 2020 Mbezi mwisho
Juice Bar

Nauza juice za matunda aina zote,smoothies pamoja na fruits salad za aina mbalimbali.

Est. 2021 Mbezi,kibanda cha mkaa.
Cananland Marketing

Ununuzi,Uuzaji na Upimaji wa Viwanja,Mashamba.

Est. 2018 Mbezi Temboni( Kwa Msuguri)
zakibeautycollection

urembo na vipodozi

Est. 2021 shule ya star
Mtumba grade one

Nguo za watoto mtumba grade 1 Kwa bei nafuu zaid

Est. 2021 Moshi mjin
SOA PIGS SMART FARM

Ufugaji

Est. 2021 Kibaha Visiga
Dreamy party21 gift shop

lillianmtoka@gmail.com

Est. 2021 lillianmtoka@gmail.com
Private tutor

Education and learning at the comfort of your home

Est. 2019 Mbezi
Transport servirces and booking

Tunatoa huduma ya usafirishaji wa parcels mizigo kutoka Dar kwenda mikoa yote Kukata tiketi za mabasi yote kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania na nje Kwenda nchi kama Kenya ,Uganda

Est. 2021 Mbezi luois
Dreamy Party

lillianmtoka@gmail.com

Est. 2020 0628945361
Simu tamu

nakuuza simu na vifaa vyake pamoja na ufundi

Est. 2021 kwa Hakimu
Doris Bracelets Tz

Tunauza bracelets za kike na za kiume, holder za funguo, cheni pamoja na accessories nyingine kadha wa kadha za kike na za kiume. Kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0737898056 au tucheck kwenye social media instagram @doris_bracelets.tz

Est. 2020 Mbezi Mwisho
Molton Milk

Maziwa yanapatikana Kwa Bei ya Jumla na Rejareja kwa Jumla lita moja 1,500/=Rejareja ni 1,700/=karibuni Sana mjipatie maziwa yenye kiwango,Ngombe wetu ni wakienyeji kabisa...

Est. 2021 0765597118
Three Ace Motors

Karibu three ace motors in mwanza tanzania Karibu ujipatie gari kwa bei nafuu kabisa Kwa mawasiliano zaidi piga no +255763 333 333 au Website yetu Three_ace_motors

Est. 2021 Mwanza makongoro load
khalifafurniture

mohamedykhaliph@gmail.com

Est. 2016 mohamedykhaliph@gmail.com
Dreamy Party

Its all about party. Tunauza keki,bite,mapambo ya party tunapamba kwenye party,tunafunga zawadi na kuuza zawadi pia tunakodisha viti vya watoto na meza.

Est. 2020 Kwa Lipelanya
Brilliant Agrotech Co. Ltd

✓Greenhouse installation ✓Drip Irrigation system installation ✓Fish farming ✓Agronomic support

Est. 2020 Brilliant Agrotech Co. Ltd
ms vunjabei pochi

shanbry8@gmail.com

Est. 2021 Mbezi Mwisho
Houseof_terries

♦️Tunauza acssesories zote za kiume na kike ♦️online based ♦️saa,wallet,mikanda, cadet etc

Est. 2017 Mbezi inn
Fu

Fundi wa sitcover , file bags, begi za shule na sofa aina zote

Est. 2018 Mbezi stand ya maramba
Perving brock

(1)Tunatengeneza Perving brock. (2)tunasawazisha eneo. (3)tunajenga perving brock. (4)tunakodisha machine yakushindilia. (5)tunadizain garden.

Est. 2014 kwa Msuguri
Kings transport

tunasafirisha mizigo isiyozid tani 10 ndani ya tanzaniaa

Est. 2018 kings transport
Bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini

Nauza bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini zenye ubora wa hali ya juu

Est. 2017 Sinza madukani
Electronic Money Transfer Creation

Utoaji Na Utengenezaji Wa Lain Za Uwakala! AirtelMoney, Tigo-Pesa, M-Pesa, na Halopesa

Est. 2019 Mbez Louis
Zengo Food Products

Kuuza Asali mbichi, mayai ya kuku wa kienyeji na ya kanga na mafuta ya alizeti

Est. 2020 baschool2020@gmail.com
totoz_looks

Tunapokea oda za jumla na rejareja za nguo za watoto

Est. 2018 Mbezi mwisho
Suleyman

Viatu Vya Mtumba Kwa Bei Nafuu,.

Est. 2020 Suleyman
3 apartment for sale near mbezi luis bus stand

3 apartment for sale locatet at mbezi Luis near bus station. 200m from the road .price 45 million negotiable. Its fens gate apartment.for inquiry call or text 0620206714

Est. 2000 Kijitonyama
PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT

Tunahusika na utengenezaji wa madirisha na milango ya alluminium. Pia tunao wataalamu wa kutengeneza balcony za kisasa kabisa zile za kuchomelea na kufunga kutoka uturuki. Kwale wanaohitaji madirisha ya P. V. C iwe ni double glass au single glass.

Est. 2020 PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT
shontel online shop

pochi,wallet,saa,blender,viatu,tishir,mazuria,wallpapers,slipers,,NK..

Est. 2020 shop online
mr professional Davoo

Dalali wa nyumba

Est. 2020 Dar es salaam
Ney’s beauty soap

Ni sabuni ya asili ambayo inasaidia kwa watu wenye shida ya ngozi pia hata ambao hawana shida wanatumia pia ili kupata muonekano mzuri zaidi wa ngozi yako.

Est. 2020 Mbezi Louis
Rashyline classic wear

Pata nguo nzuri na zakijanja za aina zote kwa watoto wakike ,pochi kali ,viatu vikali upendeze mjini ❤❤

Est. 2007 Mbezi mwisho
Cattyz clips

Karibu ujipatie clips za ndizi,viazi, kokoto na tambi za dengu bidhaa zetu ni bora na tamu sana toa oda yako uletewe ulipo piga simu 0713051626 Karibu

Est. 2019 Kinzudi
AMAIZING CARS

MAGARI MAPYA NA USED

Est. 2020 MBEZI BEACH
Anitha Best cakes & bites

Karibu ujipatie cakes za Aina mbalimbal na bites ????????????

Est. 2015 Mbezi mwisho
Eminza Food Products

Wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa bora ya BINGO TROPICAL ICE CANDY katika ladha tofauti.

Est. 2019 Mbezi Luis
Neyspices

Neyvirgin coconut oil ni mafuta ya nazi yasiyopikwa wala kuwekwa kemikali,yanafaa kwa matumizi yote ya nyumbani kupaka,kupikia nk,hutumiwa na rika zote. pia utapata appertizer ni pilipil inayokupa radha nzur

Est. 2015 Kimara Temboni
Zengo Food Products

Tunauza mayai ya kanga, ya kuku wa kienyeji, asali mbichi na mafuta ya alizeti toka singida

Est. 2020 Kwa Yusuph
G-HAULE super Agent

uuzaji wa magari, pikipiki, Tv, Bajaj, fridges,viwanja,nyumba,e.t.c

Est. 2020 Mbezi mwisho
fmcollection

nauza nguo za kike

Est. 2016 magarisaba
Kuku_wa_kienyeji_mbezi

Tunauza kuku wa kienyeji kwa sh 15000/-, kama una una mgahawa au jiko bar basi wasiliana nasi kwa namba zetu 0758851175, au tembelea Na follow page yetu ya instagram @kuku_wa_kienyeji_mbezi , karibuni sana

Est. 2019 Msakuzi
Furniture

Karbuni sana bidhaa zetu nibora sana popote ulipo tunakufikia kwa haraka zaid bei zetu ni rafiki mnoo

Est. 2012 Suleymani
Barafu

Barafu za maji na ubuyu kwa bei ya shillingi 100 tu

Est. 2020 Vienna
DEX SOLUTIONS LIMITED

We design and build unique IT solutions that turn ideas into products, opportunity into competitive advantage, and Make IT clients into category leaders. We bring more than skill and experience to the table. We enrich every client engagement with a level

Est. 2016 Konoike Road
kanjeclass wear

karibu sana tukuhudumie #pambakali kwabei nafuu Sasa ulipo mzigo unakufkia whatspp 0673850113

Est. 2020 Mbezi ya kimara
kanje classic shoes

Hakuna haha yakwenda kariakoo ulipo mzigo unakufikia kwabei nafuu na Original.kwamawasiliano Zaid... call/whatsp =

Est. 2020 Mbezi mwisho opposite na NMB/Bank of Africa
Glm Viatu jumla na rejareja

Nauza viatu vizuri vya ngozi Kwa jumla na rejareja , pia tunafanya delivery ya mzigo popote ulipo Kwa kuchangia gharama kidogo mteja 0652886602

Est. 2017 Kwa Masai
nguo za watoto mtumba

Tunauza nguo za watoto mtumba grade 1. Tunapatikana Mbezi ya Kimara DSM. karibuni sana wateja.

Est. 2020 Mbezi karibu na CRDB Bank
G smile Collection

Njoo ujipatie simu za aina zote na accessories za simu aina zote ( iphones) kama chargers, covers, earphones na protectors

Est. 2019 Gods Lodge and pub
Kidumu Video Library

Nauza cd , cover za simu protector,chaji earphone, tunafungua acount whatsap, instagram, twitter, facebook n.k Pia tunasajili line aina zote Bila kusahau tuna instal windo aina zote karibuni.

Est. 2010 Kwa bundala msumi mbezi
msuva alluminium window and door

Tunatengeneza madirisha pamoja na milango ya aluminium kwa bei nafuu kabisa na tunakukabizi kwawakati bilarongorongo na bilakusahau mteja akitoa kazi afanyiwe madirisha ya chooni ni ofa atochajiwa kiasi chochote.mteja kwetu ni mfalme karibuni wote

Est. 2020 mazuru mbezi
FARU ANIMAL FEEDS

Tunatengeneza na kusambaza vyakula bora vya kuku wa kienyeji na broila

Est. 2020 FARU ANIMAL FEEDS
watchesfashiontz

watches,jewelry,handbags,nguo za watoto na viatu,pets

Est. 2019 mbezi
G smile collection

We are selling iphones Phones accessories (Covers, earphones,protectors and chargers)

Est. 2019 Mbezi mwisho
Ngowi plumber

Tunahusika na masuala yote yahusuyo maji ndani ya nyumba yako

Est. 2015

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?