Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
35000/=
15000/=
27000/= contact.0768327353 instagram. totoo_point_tz
30000
16000/=
20000/=. contact.0768327353 location. magomeni kagera instagram. totoo_point_tz
35000/=. contact.0768327353 location. magomeni kagera instagram. totoo_point_tz
30000/=. contact.0768327353 location. magomeni kagera instagram. totoo_point_tz
jumpsuit 25000/=. contact.0768327353
26000/=
38000/=
net 25000/=
Toyota harrier sport rim year:2002 cc:2160 eng: four km:98000 price:11.8ml
net 25000/=
Je?unamiliki hotel,lodge,mgahawa,guest houses,car wash,drycleaner na wewe binafsi kwa matumizi ya nyumbani kwako.karibu ujipatie package ya Qona products ambayo ni Qona multipurpose soap ni nzito kwa matumizi ya kuoshea vyombo aina zote hadi vyenye mafuta yalioganda,kufulia nguo aina zote nyeupe na za rangi,kuoshea magari,pikipiki na vyombo vingine vya usafiri kudekia nyumba. Qona disinifectant soap kwa matumizi ya kusafishia maliwato(choo),inaua wadudu chooni,inakata harufu mbaya chooni na kukiacha choo chako kikiwa kisafi na salama kwa mtumiaji.zinapatikana kwa bei zifutazo lita 1 lita 5 lita 20 tsh 3000 tsh 10000 tsh 30000 kuanzia ujazo wa lita tano delivery ni free mpka kituoni kwako kwa wakazi wa Dar es salaam,mikoani tunatuma kwa gharama za mteja.karibu tukuhudumie.Tunakaribisha mawakala pia kote Tanzania
Je unamiliki hotel,dry cleaner au guest house na unachangamoto ya rangi za taulo zako nyeupe na nguo nyeupe za wateja wako?au wewe binafsi unachangamoto ya madoa katika nguo zako nyeupe basi ondoa shaka mkombozi amepatikana jibu ni Qona bleach laundry detergent ndio kiboko na suruhisho la madoa sugu katika nguo zako nyeupe bei zetu ni kama ifuaatavyo Lita 1 lita 5 lita 20 tsh 3500 tsh 12000 tsh 35000.Tunakaribisha mawakala pia kote Tanzania
Karibu ujipatie mafuta mwali ya nazi kw matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia,kuokea,kupaka mwilini,kufanya body massage,kupaka kichwani na ni mazuri mno kwa watoto wachanga maana hayajachanganywa na chochote. bei zake ni kama ifuatavyo UJAZO REJAREJA JUMLA Mils 120 4000 3000 Mls 250 8000 6800 Mls 500 15000 13000 1litre 25000 23000 5litre 100000 95000.Tunakaribisha mawakala pia kote Tanzania
TOYOTA : COROLLA RUN X Mwaka 2003 | Engine 1,500cc | Petrol | Automatic transmission | Gold color | 50,000 km | 5 Doors and 5 Seats OTHER ACCESSORIES : Power steering | Power window | Radio | airbag | Air conditioner | Key less entry | Cd player | Alloy wheels | centralized lock | Non-smoker | Defroster | power mirrors | Intelligent key Gharama za kuagiza , ushuru pamoja na usajili mil 12.2 Malipo ya awali ( C.I.F ) Tsh.mil 5.7 call /sms /whatsapp : +255 659 972 513 / 0683 292 229 N.B : Gari ni za kuagiza kutoka Japan malipo tunapokea kwa awamu mbili
tunandika wallpaper na kupakarangi
je?unachangamoto ya kufubaa kwa sink lako la chooni,jakuzi au hata sink lako la kunawia mikono.jibu la tatizo lako ni Qona tiles cleaner itaondoa stains zote zilizongangania na kuliacha safi na lenye kungaa.lita moja kw tsh 3000 tu n lita tano tsh 10,000 tu.kuanzia lita tano delivery ni free mpaka kituoni kwako kwa wakazi wa dar.karibu tkuhudumie.Tunakaribisha mawakala pia kote Tanzania
jipatie sabuni tiba za mimea asili kabisa kwa ustawi wa afya ya ngozi yako,inatibu mba,muwasho wa ngozi,chunusi na kukausha mafuta usoni.inatumiwa na jinsia zote.bei ni th 3000 tu.ukihitaji jumla pia tunauza karibu.Tunakaribisha mawakala pia kote Tanzania
Tutafute tukuandikie na kukusaidia katika biashara, mradi au kampuni yako. Business Plan na Proposals.
Blast pikipiki nzuri kabisa ni bado mpya kabisa imetembea miezi michache Haina tatizo lolote price 1550000 0689 358615
karibuni F R SIGN 0620449421
hii ni meza za office tunatengeza na kuweka logo yako ya campony ikiwa imewaka. karibuni F R SIGN 0620449421
viwanja vinapatikana makazi mapya Kiluvya madukani umeme maji yapo kuanzia million 1.8, 2.8, 3 nk survey free cost
simu: Oneplus6T 128gb...,ram 6gb. Colour Black. 16+20mp dualcamera price 800,000/= call 0713604762
Iphone 6s+ 64gb, ram 4gb Fingerprint scanner Battery life 100% Price 420,000 call through 0713604762
unahitaji kupunguza uzito? unahitaji program ya peke yako? unahitaji kufundishwa na kufatilia kwa karibu? unahitaji kuuona uzuri wa muonekano wako? unahitaji kujisifia kwa kupunguza tumbo, minyama uzembe, na shepu yako nzuri kurejea? unahitaji kuimarisha afya yako kwa kupunguza kilo( mafuta mwilini)? Ni rahisi tu. program makini Sana na ya afya, inakusaidia kupungua kwa asili bila athari yoyote ndani ya siku 9 Hadi 15, kwa kupunguza kilo 6 ndani ya siku 9 na zaidi ya kilo 10 ndani ya siku kumi na tano. jali afya yako. rejesha muonekano wako. utaelekezwa na kufundishwa namna ya ulaji na mazoezi madogo madogo ndani ya program. wasiliana nasi kwa msaada zaidi. 0755324799/0748318008
moja Kati ya product muhimu Sana kwenye program yetu ya kupunguza uzito Ni hii hapa ya aloe vera gel. * kazi yake kubwa kwenye program ya kupunguza uzito ni kusafisha mfumo wote wa mwili na kuondoa taka mwili(sumu) mwilini. *kwa kusafisha na kuondoa taka mwilini, inasaidia nutrients kufyonzwa vizuri kwa ajili ya kazi husika mwilini. Mbali na kazi hiyo ya kwenye program * inasaidia kwa wenye shida ya constipation ( kupata choo kigumu/ kukosa choo kabisa) * inasaidia kwa wenye shida ya vidonda vya tumbo *inasaidia kwenye swala la mumeghenyo wa chakula * inaimarisha Kinga ya mwili *inafanya ngozi kughaaa, kulainika na kua changa zaidi najua wewe Ni muhitaji wa hizi bidhaa.Ni nzuri kwa watoto na watu wazima pia. usiache kututafuta kwa msaada na maelekezo kwa namba. 0755324799/0748318008
karibuni unga wa lishe wenye mchanganyiko wahindi lishe,viazi lishe na mbegu za maboga ni maalum kwa watoto kuanzia miezi sita, mama mjamzito,mama aliyetoka kujifungua wagonjwa, wazee na watu wote. tunapatikana dar es salaam call/whatsap 0687028343
Jipatie wine original kutoka Dodoma kwa mawasiliano zaidi 0655368294 Unaletewa popote ulipo
jipatie bloxs yanyumba anaipanga mpaka inakamilika kwabei poa unaletewa mpaka ulipo free dereveli tutafute kupitia No 0768602324
weka mwili wako sawa kufanya mazoezi yasio umiza jipatie kwabei poa unaletewa popote ulipo free dereveli tutafute kupitia No 0768602324 kalibu
jipatie mchezo wamwanao kwabei poa unaletewa popote ulipo free dereveli tutafute kupitia No 0768602324 kalibu asante
pata radio call kwajili ya mchezo wa watoto zako unaletewa popote ulipo free dereveli tutafute kupitia No 0768602324 kalibu
pata mop bacat kwamatumidhi yanyumbani usafi nimuimu unaletewa mpaka maali ulipo free dereveli tutafute kupitiaNo.0768602324 kalibu
jipatie mchezo mdhuli spideman wakutambaa anaetumia betli kwabei poa Tsh.15.000 tutafute kupitia no.0768602324.kalibuni sana
jipatie mchezo mdhuli gali ya limont kwabei poa.Tsh.35.000 tu tutafute kupitia no.0768602324
karibuni sana viatu ..sandals zimetengenezwa kwa ngozi ..rejareja 12000...jumla 10000 ....0756928807..weka oda yako mapema